Bondia Mwakinyo hajui anachosimamia! Amegeuka Tena.

Mwambie twaha afanye kiingirio laki moja kama watakuja watu
 
Azam tv huwa anatoa ngapi?
 
mnamchokoza akiwajibu ndio mnasema anadharau hebu acheni uzwazwa,kwa hadhi yake apigane na nani tanzania ni sawa umpambanishe diomond na harmonize
So mabondia wa nchi kama marekani (kwa mfano) hawapigani na wenzao wa marekani?.
 
mnamchokoza akiwajibu ndio mnasema anadharau hebu acheni uzwazwa,kwa hadhi yake apigane na nani tanzania ni sawa umpambanishe diomond na harmonize
Unaonekana huna nia nae njema ikiwa utaupinga ushauri huu kwa sababu kuhusu umasikini Mwakinyo hana hela hata inayofika nusu ya pesa ya Kijana kama Samagoal kwa hyo acheni nyege zenu pigeni kazi sio kuleta mipasho ya Kishoga aje Kwanza Moro au sie tuje tuchapane watu tuelekeze game mbele tumechelewa sana hatustahili kuwa na bondia asie mzalendo kama hyo Msambaa

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Weka hadharani afande alisema nn?

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Hata Diamond platinum alijipa dhamani ndo akawa kama alivo saivi kwa makwinyo simlaumu na huo ushauri wako ningemshauli asiuchukue maana una dalili za kumfanya awe cheap
 
Waluguru sifa yao ubishi na uchawi tu
 
Hata Diamond platinum alijipa dhamani ndo akawa kama alivo saivi kwa makwinyo simlaumu na huo ushauri wako ningemshauli asiuchukue maana una dalili za kumfanya awe cheap
Diaomond alijitangaza bila hela kiasi kadhaa hafanyi show ndio maana mpaka leo tajiri,hao mabondia wajinga waache wapiganie carina za milion2 huku haki zao wanazikosa
 
Nilishangaa jamaa alipokataa millioni 50 kwamba adhahi yake ni Millioni 100 huo mkanda sijui ataupatia wapi tena
 
Nilishangaa jamaa alipokataa millioni 50 kwamba adhahi yake ni Millioni 100 huo mkanda sijui ataupatia wapi tena
Hiyo ndiyo misimamo huwezi kupewa hela ya mbuzi ikiwa hadhi yako kubwa
 
Hata Diamond platinum alijipa dhamani ndo akawa kama alivo saivi kwa makwinyo simlaumu na huo ushauri wako ningemshauli asiuchukue maana una dalili za kumfanya awe cheap

Diamond ni baada ya kulitumikia taifa Kwa miaka zaidi ya Saba ndipo akajipa hiyo thamani!
Hata hivyo Diamond tayari alikuta Game iko pazuri kidogo.

Diamond wa 2008-2015 alikuwa ni mtumishi tuu wa kuhakikisha anaijenga Tasnia,
Baada ya hapo ndipo akaanza kuji-value ingawaje naye hapaswi kupuuza mambo ya ndani ya nchi yake
 
Mimi sioni shida, hapigani kufurahisha watu anapigana akiona maslahi yapo yanayomfaa.
Ukiendekeza kufurahisha watu utapigana mpaka unazeeka huna kitu cha maana. Anajivalue ndio maana hapigani kila pambano.
Hata Diamond Show kibao za nchini hapigi maana mpunga hautoshi. Kila mtu anakula urefu wa kamba yake.
 
Usiku mmoja tena kwa dk 30
 
Lakini Diamond hajawahi kubeza wanaofanya show za ndani📌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…