Bondia Mwakinyo hajui anachosimamia! Amegeuka Tena.

Kaamua kuchagua njia yake,basi apite anapoona inafaa naamini management yake inaona vizuri...
 
Wadigo kwa kuwa sii kabila kubwa sana hapa bongo na kwakuwa sijawahi kuishi Tanga, nilikuwa nawasikia redioni kuhusu majivuno na ujuaji kuwa mhaya anasubiri, siku nilipokuja kupata jirani mdigo ndio nikawajua hawa mabwana
 
Kasemaje?
Kasema eti yeye kutumia chopper kwenye ukaguzi wa maendeleo ya mradi wa anwani za makazi imewafanya watu wamseme saaaana! " Hii helicopter inatoa mungurumo ambao unasaidia kuwaamsha watu waliolala ili waamke wakachape kazi" Nape Mnauye (MB) Waziri wa Habari
 
Mwana siasa uyo muache
 
Mkuu Mimi nacheza mchezo wa ngum uku mbeya uwa nashilik had kombe la mbuz ili2 nikuze jina!! asa jamaa naona nyodo nyinyi u Star umemlevya
 
Huyu jamaa mdomo wake unanuka..anachokitoa mdomoni ndo kinachotoka kichwani. Maana yake kichwa kimeoza
 
Hataki kupigwa yeye anataka awe bingwa sasa ache aisome namba ya msoto
 
Umeachieve kitu gani kwenye maisha yako mpaka ujipe cheo Cha ushauli juu ya Mambo binafsi ya mwakinyo?

Sent from my CPH2349 using JamiiForums mobile app
 
mi naona mwakinyo yuko sahh na anajitambua.haiwezekani eti upigane ukigombania mbuz,au gari ,we can't be serious.nani ataidhamini tashinia ya masumbwi Kama sio mabondia wenyewe!!? kwann mziki mtu alipwe pesa kibao ,na kwa nn isiwe masumbwi !!? Kama tutaendelea kugombania mapambano ya mbuz ,vigari basi masumbwi utaendelea kuwa ni mchezo usiodhaminiwa na uonekane ni mchezo wa kupotezea muda na sio kazi !!! Mwakinyo big up!!

Hata USA wasingeudhamini huu mchezo Basi mpaka Leo nao wangekuwa wakigombania mbuz,na vigari!! Don't expect people from abroad com and change our mentality abt boxing game ,it's ourself .we have to value it, respect it ,and make it payable ,even more than music !!
 
Hicho anachojidai hadhi muda si mrefu kitakuwa hedhi.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unazingua adse
 


Umemaliza kila kitu.

Sina cha kuongeza tofauti na kuunga mkono ushauri huu
 
Hata diamond wakati anasema hataki show chini ya milion 10 tulimuoja wa ajabu kweli,kipindi mastar kina dully sykes,TID,Mr. Blue wanafanya show chini ya milion 1,ktk maisha kila mtu anavision yake kulngana na anavyojitazama,tusimkatishe tamaa,unajisikiaje kupigana kwa crown used ya milion 15 huku kuna bondia ambaye umemzidi kila kitu si ajabu nchi jirani tu pambano moja ananunua crown 4 hadi 5??mchezo wa ngumi una hela na wafuasi wengi,tatizo kwa muda mrwfu ulikuwa unasimamiwa na wahuni na unaendeshwa kihuni na wapiganaj wengi hawakuwa na uelewa na thaman halisi ya mchezo wa ngumi walikuwa wanapigana kwa sifa za mtaa,sasa kama mtu amejitokeza kuwajanjarua wengine lazima kizaz kile cha wasioona mbali kimshangae,tumwache tumjadili mwishoni akimaliza career yake kuhusu kauli zake,kama amezitekeleza au zilimshinda?
 
Hicho kijamaa mi nakionaga kishamba tu fuckn Mwakinioo
 
Hadhi yake ni ipi?

Hata Diamond Na Hamornize kwenye muziki wanapambanishwa mbona,

Hivi Kwa akili yako unafikiri Kwa hapa Tanzania hadhi ya Mwakinyo anapaswa alipwe kiasi gani kila akisimama kwenye Pambano?,
Fala mmoja tu Huyo jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…