Bongo Flava ya sasa ni uozo mtupu

Unachoongea Ni nonsense Tanzania Ni nchi kamili ina sheria zake na maadili yake' hatuwezi kufanya kila kitu Ambacho kinafanywa na hao USA Bila ya kujali kuwa hakito kuwa na faida katika jamii yetu .... Sasa kama hii nyimbo aliyoitoa ney wa mitego yaani ana hamasisha matumizi ya anal sex hadharani kabisa hii Nini maana yake'
 
Hiyo nyimbo ya dully sykes inaitwa nyambizi na ilipotoka tu ilifungiwa ..haikuachiwa
 
Na akifika chumbani anabadili wimbo anaanza, mpelekeee moto peleka motoooo mpelekee motooo🀣🀣🀣🀣🀣
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Yaani imefikia hatua hauwezi kusikiliza mziki na watu unao waheshimu hata kwa bahati mbaya
Ujinga mtupu kabisa mkuu..bora hata hizo nyimbo zingekuwa chache.ila ni kama bongo fleva yote imehamia kuimba matusi.
 
Hiyo nyimbo ya dully sykes inaitwa nyambizi na ilipotoka tu ilifungiwa ..haikuachiwa
mwisho jana nimeisikia na sio jana mara nyingi naisikia kuna baadhi radio hilo linapita hivyo hivyo ila nyingine zinakata hilo neno
 


Nani kakwambia hizo nyimbo hazina faida? Watu wanapiga pesa na wanalipa kodi, wewe kama hutaki usisikilize, hayo mambo ya maadili ya Tanzania sijui nini nia adabu za kale. Sijui unataka Bongo fleva ndio wawafundishe watoto wako nini?
 
Zamani mashahiri ndo yalikua yanakubeba ila sasahivi unabebwa na video kali...hata kama mashahiri mabovu hayaeleweki
 
Hatari..
 
Soko linavyotaka so watanzania tuliwaambia kuwa tunataka matusi kwenye nyimbo zao ;!??
Ni aibu tupu,alafu utamkuta bashungwa yupo kwenye matamasha ya matusi anaruka madebe
 
Wee umemaliza kila kitu yaan.
 
Wooooooooooow ma babeeeeeh, [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
 

Mabaharia toka Buza tumefika, waweke fence tunarukaga ukuta... kama mafisi hatuachagi hata mifupaaaaa!! MIFUPA

Cha mtu mavi wanashikaga ukuta, bia tatu ila baadae utajuta!!

Gusanisha, nyama kwa nyama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…