hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
Unachoongea Ni nonsense Tanzania Ni nchi kamili ina sheria zake na maadili yake' hatuwezi kufanya kila kitu Ambacho kinafanywa na hao USA Bila ya kujali kuwa hakito kuwa na faida katika jamii yetu .... Sasa kama hii nyimbo aliyoitoa ney wa mitego yaani ana hamasisha matumizi ya anal sex hadharani kabisa hii Nini maana yake'Nilikuwa na maana kwamba, waache watu wafanye kazi zao usiwapangie cha kuimba kisa wewe una watoto. Ndio maana nikakutolea mfano wa Nicki Minaj, kasema mimi sio mama yao. Lea watoto watoto wako kwa hayo maadili unayotaka wewe. Huu ni Ulimwengu wa utandawazi, usitake Young Lunya aimbe unavyotaka wewe kisa unalea watoto. Watoto wako hao.