Bongo Flava ya sasa ni uozo mtupu

Bongo Flava ya sasa ni uozo mtupu

Nilikuwa na maana kwamba, waache watu wafanye kazi zao usiwapangie cha kuimba kisa wewe una watoto. Ndio maana nikakutolea mfano wa Nicki Minaj, kasema mimi sio mama yao. Lea watoto watoto wako kwa hayo maadili unayotaka wewe. Huu ni Ulimwengu wa utandawazi, usitake Young Lunya aimbe unavyotaka wewe kisa unalea watoto. Watoto wako hao.
Unachoongea Ni nonsense Tanzania Ni nchi kamili ina sheria zake na maadili yake' hatuwezi kufanya kila kitu Ambacho kinafanywa na hao USA Bila ya kujali kuwa hakito kuwa na faida katika jamii yetu .... Sasa kama hii nyimbo aliyoitoa ney wa mitego yaani ana hamasisha matumizi ya anal sex hadharani kabisa hii Nini maana yake'
 
sasa hivi mziki ni matusi ila zamani sio matusi yani umeweka double standard kwanini??

Dully Sykes anakuambia "nipe japo kiduchu nishachoka kupiga puchu"

KR Mulla anakuambia "we ukitaka tende chukua lakini .... unapanua"

unataka za Temba??

Hata zamani matusi yalikuwepo bwana tena ya wazi tu ila walichobarikiwa ni kwamba mashairi yao mpaka bado yanaishi tofauti na sasa.
Hiyo nyimbo ya dully sykes inaitwa nyambizi na ilipotoka tu ilifungiwa ..haikuachiwa
 
Yaani imefikia hatua hauwezi kusikiliza mziki na watu unao waheshimu hata kwa bahati mbaya
Ujinga mtupu kabisa mkuu..bora hata hizo nyimbo zingekuwa chache.ila ni kama bongo fleva yote imehamia kuimba matusi.
 
Hiyo nyimbo ya dully sykes inaitwa nyambizi na ilipotoka tu ilifungiwa ..haikuachiwa
mwisho jana nimeisikia na sio jana mara nyingi naisikia kuna baadhi radio hilo linapita hivyo hivyo ila nyingine zinakata hilo neno
 
Unachoongea Ni nonsense Tanzania Ni nchi kamili ina sheria zake na maadili yake' hatuwezi kufanya kila kitu Ambacho kinafanywa na hao USA Bila ya kujali kuwa hakito kuwa na faida katika jamii yetu .... Sasa kama hii nyimbo aliyoitoa ney wa mitego yaani ana hamasisha matumizi ya anal sex hadharani kabisa hii Nini maana yake'


Nani kakwambia hizo nyimbo hazina faida? Watu wanapiga pesa na wanalipa kodi, wewe kama hutaki usisikilize, hayo mambo ya maadili ya Tanzania sijui nini nia adabu za kale. Sijui unataka Bongo fleva ndio wawafundishe watoto wako nini?
 
Zamani mashahiri ndo yalikua yanakubeba ila sasahivi unabebwa na video kali...hata kama mashahiri mabovu hayaeleweki
 
Hatari..
Leo hii ndo nimesikiliza nyimbo ya harmonize na angella
Kuna sehemu nimesikia
"....anataka twende serengeti zanzibar kilimanjaroooo,
anahamisha pale nilipozoea anataka kuweka kwenye mtaroooo..."😆😆😆
But hii nyimbo ni tamu sanaaaaaa 🤭
 
Soko linavyotaka so watanzania tuliwaambia kuwa tunataka matusi kwenye nyimbo zao ;!??
Ni aibu tupu,alafu utamkuta bashungwa yupo kwenye matamasha ya matusi anaruka madebe
 
Short and clear ukiona unaanza kuchagua mziki wa kusikiliza na kukosoa ujue umri wako umesogea kwa hiyo hizi n Zama za vijana tuwaache nao wafurahie wakat wao

Wakat niga j na 2 proud wanaanza kuimba baba yangu alikuwa mkali sana kwetu akituasa kuwa eti ule n mzki wa wahuni kumbe haukuwa wakat wake wakati wake ulikuwa wa marijan rajabu maquise du zaire na wengineo
Wee umemaliza kila kitu yaan.
 
Lol, hilo song nalikubali sanaa baby, yaan wanaimba kama hawataki vile lakini full vibe,

Na kiuno chako kilivyokua hakina mfupa sasa, hapo ni kugusa halafu nanata,
[emoji7][emoji7][emoji7]
(Tutakuja kufukuzwa kwenye uzi wa watu, wenyewe wanapinga matusi, [emoji2960][emoji1][emoji23])
Wooooooooooow ma babeeeeeh, [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
 
"Gusanisha Hasi na Chanya, Gusanisha Paka na Panya, Gusanisha mama weeeeeee, Viuno vimefungwa Mota hivyo, si kuchafuana boxer huko...."

Mwanangu G Nako na bibie Maua Sama walitisha sana kwenye hii ngoma,

Sema nini kaka mkubwa, me nakuelewa sana, mziki wa bongo sasa hivi daah hauna ladha ile wakongwe tuliizoea, pia utunzi wa mashairi wameishiwa ndio maana kutwa kuigana tu.

Mabaharia toka Buza tumefika, waweke fence tunarukaga ukuta... kama mafisi hatuachagi hata mifupaaaaa!! MIFUPA

Cha mtu mavi wanashikaga ukuta, bia tatu ila baadae utajuta!!

Gusanisha, nyama kwa nyama.
 
Back
Top Bottom