Ngiama makanda
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 2,208
- 3,938
ila enzi hizo bhana sijui ni kutojua eti msanii anajiita king crazy 😂Picha ya Gk tafadhari
Eti babu tuliaa babu 😂😂YA SIKU HIZI YANAIMBA VITU HAVINA UJUMBE
NI UJINGA UJINGA TU
Anakuwa crazy crazyila enzi hizo bhana sijui ni kutojua eti msanii anajiita king crazy 😂
Kwenye video ya huo wimbo Bush party huwa nacheka sanaSolid ground family (Hotpot family) wa Bushparty,
Unaikumbuka hata mstari mmoja uuweke hapa nione kama ni wenyeweDudubaya
Kuna macDizzo,Mnyalu sijawaona hapa kwenye listDaah! Miaka ya elfu mbili muziki ulitendewa haki kweli jamani. Cheki list ya vipaji hivyo – yaani mtaani kulikuwa hakupoi:
Hicho ndo kizazi bora cha muziki cha muda wote tangu Tanzania ipate uhuru. Yaani vipaji vilikuwa halisia – sio haya mandegesule ya sasa hivi!
- Juma Nature
- Q Chillah
- Ferouz
- Lady Jay Dee
- Professor Jay
- Ngwear
- Jay Moe
- Chege
- Dully Sykes
- Ray C
- Stara Thomas
- T.I.D
- Mr Blue
- Fid Q
- Afande Sele
- Mandojo & Domo Kaya
- Banana Zorro
- Daz Baba
- AY & FA
- Mr Nice
- Mez B
- GK
- Noorah
- Biz Man
- Temba
- Madee
- Tunda
- Kassim Mganga
- MB Doggy
- Z Anto
- Matonya
- Joslin
- Q Jay
- Makamua
- Raha P
- Squeezer
- Dataz
- 2 Berry
- Langa
- Geez Mabovu
- Sugu
- Akili Ze Brain
- Tholo Thang
- Inspector Haroun
- John Walker
- Rado
- KR
- Nako 2 Nako
- Kikosi Cha Mizinga
- Chid Benz
- Suma Lee
- Izzo B
Alikiba Nyimbo ya Kwanza Ilikuwa Mwaka 2002 inaitwa Maria alishirkishwa na Abbyskills na Mr Blue..KR walitoa ya leo kali ilikuwa mwaka 2000 na kundi la wachuja nafaka kabla hata ya kuudwa TMK
KR wasiku nyingi sana, alikiba ametoa hit song mwaka 2006 cinderela kabla ya hapo alikuwa anajitafuta
Ya leo kali kr ameimba vizuri sana unasema alikuwa hasikiki haupo seriousAlikiba Nyimbo ya Kwanza Ilikuwa Mwaka 2002 inaitwa Maria alishirkishwa na Abbyskills na Mr Blue..
KR Ameanza Miaka Ya 90 baada ya Makundi kuvunjika Kama Gangwe MOB lile la Kina Luteni karama na Wachuja Nafaka Na DMW ndo Likaundwa Kundi Linaitwa TMK wanaume Family mwaka 2004 ...
Kr Alikuwa Bado hasikiki Japo alikuwa anaimba Na Alifahamika Tangu Mwaka 1997
Ya Leo kali ni Nyimbo ya 2002 MkuuYa leo kali kr ameimba vizuri sana unasema alikuwa hasikiki haupo serious
Sasa 2002 mpaka 2005 kati ya KR mula na alikiba nani alikuwa anajulikanaYa Leo kali ni Nyimbo ya 2002 Mkuu
Vipi kuhusu wimbo Wa Maria wa Mwaka 2003?Sasa 2002 mpaka 2005 kati ya KR mula na alikiba nani alikuwa anajulikana
Alikiba alikuwa bado anajitafuta alikiba amejulikana na watu wengi baada ya kutoa cindirela mwaka 2006
Maria alishirikishwa, sikuoni bado haikumtambulisha elewa alikiba nyimbo iliyomuweka kwenye ramani ya mziki watu wakamjua ni cinderela ya 2006Vipi kuhusu wimbo Wa Maria wa Mwaka 2003?
Na Nyimbo Kama Sikuoni Iliyotoka Mwaka 2004?
Mr Ni Blue Ni Msanii Nyimbo Gani ya Mri Blue Ilihit usisahau Nyimbo ya blue Blue au Mr Blue Ilitoka Mwaka 2002 Na Sio 2004..Maria alishirikishwa, sikuoni bado haikumtambulisha elewa alikiba nyimbo iliyomuweka kwenye ramani ya mziki watu wakamjua ni cinderela ya 2006
2004 nyimbo zilizohit sana ni mikasi, zile za mb dogg na Mr blue
Ndo mwaka ambao ziliivuma 2004 na ndo mwaka afande sele alipewa tuzo ya mfalme wa rhymesMr Ni Blue Ni Msanii Nyimbo Gani ya Mri Blue Ilihit usisahau Nyimbo ya blue Blue au Mr Blue Ilitoka Mwaka 2002 Na Sio 2004..
Na 2004 Nyimbo ya Mikasi ilikuwa Tayar imetoka mwaka 2003
Hapo Kwenye Kupewa Umenena Vyema maan Hakushinda Ila Alipewa Kama ZawadiNdo mwaka ambao ziliivuma 2004 na ndo mwaka afande sele alipewa tuzo ya mfalme wa rhymes
Kuna msanii aliitwa mchizi mox alivuma sana huu mwaka 2004 ila akaja kuzima kama mshumaaHapo Kwenye Kupewa Umenena Vyema maan Hakushinda Ila Alipewa Kama Zawadi