Bongo Fleva ya miaka ya 2000 mpaka 2009 hatuna deni nayo maana si kwa Wasanii hawa

Mkuu mbona umewaacha Dudubaya na Sister P kwa makusudi?
 
Nipo nawasikiliza hawa jamaa Wakali Kwanza
Q Jay&Joslin kwa wakati wao ndiyo tukisema ni wabana pua but hawakuwazidi wa kizazi hiki.
 
Hakuna mashaka hawa waliimba nyimbo zinaishi kuna mwamba anaitwa D knob ongezea jina lake
Ngoma zake
Ingewezekana ungekua wangu
Sauti gharama
Kitu gani
Bad man nk
Kuna bwana misosi najiuliza nitoke vipi
Pia roma mkatoliki
Umesahau kutaja ngoma yake kali kabisa Elimu mtaani dot com beat ya Miika Mwamba Kali
 
Hata T.I.D nimemjua baada ya who passing btn my interview so ni kawaida

Tunapenda kuforce namjua ilihali simjui,

Mm sio mpenzi wa tv kiukweli hata muziki hasa wa Tz nao ni kazi nyingn, me hata kuangalia tv siwezi mkuu, ipo hivyo aani
Najua wewe unapenda muziki wa Kongo na wa Kenya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…