Bongo Fleva ya miaka ya 2000 mpaka 2009 hatuna deni nayo maana si kwa Wasanii hawa

Picha ya Gk tafadhari
Huyu ndio aliikuza sana game ya bongo fleva kwa kuanzisha kundi la East Coast team.

Kundi lake lilileta upinzani kwa tmk na kusababisha attention kitu kilichofanya watu wengi kufuatilia bongo fleva.
 
6, 16 na 39 RIP,
Mmeacha Legacy itakayoishi mioyoni mwetu vizazi na vizazi!!
 
Mwehu wewe Joslin hajawahi kubana pua

Una ngoma ya
Q Jay Sifai?
Well kama uliishi Bongo Flavour ya 2000s utaelewa nilichokisema but kadiri tulivyosogea na kuona mabadiliko ya sasa ndiyo tumekuja kugundua kumbe wale hawakuwa wabana pua.

Screenshot niliyoweka nilikuwa naisikiliza ngoma hiyo hiyo β€œSifai”
 
Majina yaliyosahaulika kwenye list wakuu πŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎ
53-soggy doggy
54-picco
55-jebby
56-mike T mnyalu
57-sister p
58-zey b
59-bushoke
60-pauline zongo
61-wagosi wakaya
62-solid ground family
63-bwana misosi
64-baba levo
65-spark
66-abby skills
67-pnc
68-ali kiba
69-yp&y dash
70-keysha
71-pingu & deso
72-snare
73- Benjamin
74-mchizi mox
75-jaffarai
76-dudu baya
77-chelea man
78-jcb
79-Ocg
80-kaka man
81-20 pacent
Kama Kuna wasanii wengine wa enzi zile tuendelee kukumbushana wakuu pamoja na Ngoma zao
 
Alikiba
Bonta
Xplastaz
Fid q
Nyota ndogo(sio mbongo)
Solo thang
 
Alikuwa anapiga kelele au ali-rap !!
Zamani Alikuwa Anarap na Kuimba Vizuri alipoanza Kuimba kwa Makelele Ilikuwa nyimbo ya Wanyeee nahusi Ilitoka mwaka 2005 au 2006 Baada ya Ney wa Mitego Kutoa Nyimbo yake Ile Ya Wamepanda Wameshuka...
 
Hauko serious yaani mtu kama 20%anakaa huko
 
Hivi yule alioimba "chukii ndo nahisi" anaitwa nani
 
Ali kiba
Ni kwamba umemsahau au makusudi yako tyuuh?

Mfalme, The King. Ni lazima awepo hapo.
Ali Kiba hakuwahi kuwa mfalme.

Tena mbaya zaidi kipindi anatoka kimuziki (2004) kulikuwa na mafundi wengi mf Mb dog, Z anto, Kasimu mganga, Marlow nk.

Hawa wote walimuacha Kiba mbali sana kimuziki.
 
Ali Kiba hakuwahi kuwa mfalme.

Tena mbaya zaidi kipindi anatoka kimuziki (2004) kulikuwa na mafundi wengi mf Mb dog, Z anto, Kasimu mganga, Marlow nk.

Hawa wote walimuacha Kiba mbali sana kimuziki.
The πŸ‘‘ himself.

Unateseka kutokea wapiii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…