Changu doa mbona ni biashara classic wewe!! tunatoa huduma kwa watunga sheria wenu! mlipaswa kutheshimu sana. afu tunachagua tunavo taka! wewe ukija nakikwapa chako akuu humpati mtu!Kachangudoa hako , ulimbukeni na umasikini ni problem
Nimecheka sana πππNtakuja nimwambie boss wako akuongeze mshahara maana naona unakoelekea siko ,subiri ntaongea na boss wako atakuongezea mshahara sawa dear wangu
Jifunze kuandika kwanzaKujailiwa ni ujiko mkuu asante kunisifia, lkn hueleweki mara jobless mara infix sasa tujue lipi?
ASa chupi ya nini mkuu joto loote hili la DSM?? Weye unazo ngapi mkuu??...nikusaide tu km unavaa hizo lazima unafungus kwenye Makalio, halafu zinawasha weeee!Wewe Ni masikini huna hata chupi
Hapana, weye ndo hujui kusoma. mbona umejibu km sijui kuandika?Jifunze kuandika kwanza
Hatukumpa maisha magumu sisiKabisa huyu kaajiriwa kwenye duka la mtu analipwa elfu sabini km sio 80 ,sasa wateja wanakuja anaona kama wasumbufu maana akiangalia kazi anayofanya na pesa anayolipwa ni vitu tofauti ,sasa kaona hasira atumalizie sisi ,ww dada hayo maisha umeyachagua mwenyewe asituletee makasiriko sisi atulie amalize dozi yake kwanza
ASa chupi ya nini mkuu joto loote hili la DSM?? Weye unazo ngapi mkuu??...nikusaide tu km unavaa hizo lazima unafungus kwenye Makalio, halafu zinawasha weeee!
Ndo ivo tumezoea sisi watu makini/maarufu wanatuona hatuna akili, lkn tunafanya mapinduzi makubwa km Dalton, Archmedes! Yesu, Nyerere, Napoleon Bonaparte nk, hawa walionekana hawana akili!Una matatizo ya akili
UtumboNdo ivo tumezoea sisi watu makini/maarufu wanatuona hatuna akili, lkn tunafanya mapinduzi makubwa km Dalton, Archmedes! Yesu, Nyerere, Napoleon Bonaparte nk, hawa walionekana hawana akili!
hata mie leo ukiniita sina akili bila sababu, wkt tunaongelea cutomer care'' ni sawa tu, uko sahihi kwa kuwa hatulingani kifikra yaani unaniweka kundi moja na hao wenzangu hapo juu, mbona tumezoea!
Kasome tena joto halikuumbiwa Dar tu!...inaonekana Jiografia ulikuwa mtoro sana weye! ndo tatizo lako lilipoanzia hapo!Ulidhani wote tunaishi darπ
Pambana huko huko Mana huku duka la simu Ni elf 65
pika ule na mtoriUtumbo
Asa km mtu akiwa mjinga mjinga utamchekea?? na weye utakuwa na tatizo! kwani kupiga soga dhambi mkuu?? mbona customer care mnaifanya km miungu watu?? acha hzio!Ujue wewe una hasira zako umeona uzimalizie KWa mtoa mada.... Afu usikute ni mfanya kazi mahala, tena wale wafanya kazi ambao mnapiga soga ofisini mteja akiwa anasubiri (Hapo natania usihamaki)...
Sasa km unajua naishi Dsm unashangaa nini mwana daisalama kukosa chupi zinazo zalisha fungus??...nikikwambia weye mzee hujasoma unasema nina hasira! hayaa banaUlidhani wote tunaishi darπ
Jibu hoja weye kibibi! aibu zipi?? jua kabisa Mteja ni Mfalme wa kupewa na watu wake anao waongoza ajiheshimu kwanza !......pia amuheshimu yuleee aliye mpa huo ufalme!Embu acha ujinga unajiabisha bure
Hahhhaa! Hii ni point ya msingi! Ila nadhani mtoa maada angetueleza alichukua hatua ganiNdiyo nasimamia ukweli huo! sababu km aliona kosa angemwambia yeye huyo muuza ili ajirekebishe sasa anakuja kuanika Biashara ya mwenzake humu huo ni uchawi tu,
kilicho kufurahisha hapo nini sasa!Nimecheka sana πππ
Maisha magumu ni kipimo cha akili!! ndo wenye akili tunapenda. ajabu eti masikini wanapakimbia penye maisha magumu looool!H
Hatukumpa maisha magumu sisi
Jana nimehama Lodge moja Ubungo kutokana na kukosekana kwa maji, niliwaarifu kwa simu mapokezi kwamba room yangu hakuna maji, nikaambiwa subiri, nikasubiri kwa dakika 7 nikapiga simu tena kuwakumbusha, nikajibiwa chukua ndoo hapo nje kinga maji room 111 au tumia room hiyohiyo kuoga, sikuamini masikio yangu kwa hadhi ya lodge ile, nikaenda mapokezi kujiridhisha namkuta mhudumu, binti amesuka rasta zake ameweka miguu juu ya sofa busy na simu hana time.Nimeenda duka la simu ulizia kitu flani ..mwenye duka ashakua maarufu ndo Mana niliagiziwa pale, nimeshangaa Sana yuko busy na insta hanisikilizi Mara ana screenshot insta anamtumia mfanyakazi wake namuongelesha hanisikilizi
Hivi tutafika kweli kwa style hii? Kwamba duka kujaa vitu ana dharau elf30 yangu hivi wabongo kuwa na ka duka Cha spea za simu, simu mpya /used charger nk unaona Kama dunia yote yako daa...Imeniuma Sana.
Hivi matajiri wenzetu huko mambele na wenyewe wanadharau? Ile kukudharau sababu unanunua labda earphone za elf 5 hajui pesa ndogo na kubwa ndo zimemfanya afikie hapo kwa sasa
Ni dhambi KWa sababu ofisi ama sehemu ya biashara ni mahali pa kufanya kazi ama kushughulika sio kupiga soga.....Asa km mtu akiwa mjinga mjinga utamchekea?? na weye utakuwa na tatizo! kwani kupiga soga dhambi mkuu?? mbona customer care mnaifanya km miungu watu?? acha hzio!
Akili zako siyo akili zake huyoo mtoa huduma!! unajuaje km hakumuona je?.... Ok! km alijua kuwa mteja wake ni mwelewa au si mwelewa??Kwamba huyo jamaa ange mkaribisha tu mteja na kumweleza kwamba anamalizia kumhudumia mteja mwengine kwenye simu angepungukiwa nini?