Bongo huduma kwa wateja ni sufuri

Bongo huduma kwa wateja ni sufuri

Kachangudoa hako , ulimbukeni na umasikini ni problem
Changu doa mbona ni biashara classic wewe!! tunatoa huduma kwa watunga sheria wenu! mlipaswa kutheshimu sana. afu tunachagua tunavo taka! wewe ukija nakikwapa chako akuu humpati mtu!

Bunge likianza tu hamtuoni mjini!!...af tunaishi safiii!! Mkuu ukiona vepi njoo nikuunge! shida zote utazisikia tu make unatuonea wivu buree! wkt hata weye una naniliu, au unasmeaje mkuu baba!
 
Wewe Ni masikini huna hata chupi
ASa chupi ya nini mkuu joto loote hili la DSM?? Weye unazo ngapi mkuu??...nikusaide tu km unavaa hizo lazima unafungus kwenye Makalio, halafu zinawasha weeee!
 
H
Kabisa huyu kaajiriwa kwenye duka la mtu analipwa elfu sabini km sio 80 ,sasa wateja wanakuja anaona kama wasumbufu maana akiangalia kazi anayofanya na pesa anayolipwa ni vitu tofauti ,sasa kaona hasira atumalizie sisi ,ww dada hayo maisha umeyachagua mwenyewe asituletee makasiriko sisi atulie amalize dozi yake kwanza
Hatukumpa maisha magumu sisi
 
Ulidhani wote tunaishi dar😁

Pambana huko huko Mana huku duka la simu Ni elf 65
ASa chupi ya nini mkuu joto loote hili la DSM?? Weye unazo ngapi mkuu??...nikusaide tu km unavaa hizo lazima unafungus kwenye Makalio, halafu zinawasha weeee!
 
Una matatizo ya akili
Ndo ivo tumezoea sisi watu makini/maarufu wanatuona hatuna akili, lkn tunafanya mapinduzi makubwa km Dalton, Archmedes! Yesu, Nyerere, Napoleon Bonaparte nk, hawa walionekana hawana akili!

hata mie leo ukiniita sina akili bila sababu, wkt tunaongelea cutomer care'' ni sawa tu, uko sahihi kwa kuwa hatulingani kifikra yaani unaniweka kundi moja na hao wenzangu hapo juu, mbona tumezoea!
 
Ndo ivo tumezoea sisi watu makini/maarufu wanatuona hatuna akili, lkn tunafanya mapinduzi makubwa km Dalton, Archmedes! Yesu, Nyerere, Napoleon Bonaparte nk, hawa walionekana hawana akili!

hata mie leo ukiniita sina akili bila sababu, wkt tunaongelea cutomer care'' ni sawa tu, uko sahihi kwa kuwa hatulingani kifikra yaani unaniweka kundi moja na hao wenzangu hapo juu, mbona tumezoea!
Utumbo
 
Ulidhani wote tunaishi dar😁

Pambana huko huko Mana huku duka la simu Ni elf 65
Kasome tena joto halikuumbiwa Dar tu!...inaonekana Jiografia ulikuwa mtoro sana weye! ndo tatizo lako lilipoanzia hapo!
 
Ujue wewe una hasira zako umeona uzimalizie KWa mtoa mada.... Afu usikute ni mfanya kazi mahala, tena wale wafanya kazi ambao mnapiga soga ofisini mteja akiwa anasubiri (Hapo natania usihamaki)...
Asa km mtu akiwa mjinga mjinga utamchekea?? na weye utakuwa na tatizo! kwani kupiga soga dhambi mkuu?? mbona customer care mnaifanya km miungu watu?? acha hzio!
 
Ulidhani wote tunaishi dar😁
Sasa km unajua naishi Dsm unashangaa nini mwana daisalama kukosa chupi zinazo zalisha fungus??...nikikwambia weye mzee hujasoma unasema nina hasira! hayaa bana
 
Embu acha ujinga unajiabisha bure
Jibu hoja weye kibibi! aibu zipi?? jua kabisa Mteja ni Mfalme wa kupewa na watu wake anao waongoza ajiheshimu kwanza !......pia amuheshimu yuleee aliye mpa huo ufalme!

akimchezea tu atapoteza ufalme wake km huyo mleta mada alivoupoteza! ...neno ''Mteja ni mfalme'' hiyo ni lugha ya kijanja sana usiingie kichwa kichwa!! utaumia! ina maana ujiheshimu tu!

Mfalme anapaswa kuheshimu huduma aliyo wekewa ili aitumie kwa busara na heshima kwake na watu wengine!! ili aendelee kuwa mfalme, Nasema mleta mada lipoteza ufalme wake Dukani pale kirahisi sana!

kuna mifano miingi sana wafalme/rais/mawaziri waliotumia ufalme wao vibaya na wakapotea mazimaaa, mpaka leo hutowasikia mfano Daniel yona, Makonda,jiwe nk!
 
Ndiyo nasimamia ukweli huo! sababu km aliona kosa angemwambia yeye huyo muuza ili ajirekebishe sasa anakuja kuanika Biashara ya mwenzake humu huo ni uchawi tu,
Hahhhaa! Hii ni point ya msingi! Ila nadhani mtoa maada angetueleza alichukua hatua gani
 
Nimeenda duka la simu ulizia kitu flani ..mwenye duka ashakua maarufu ndo Mana niliagiziwa pale, nimeshangaa Sana yuko busy na insta hanisikilizi Mara ana screenshot insta anamtumia mfanyakazi wake namuongelesha hanisikilizi

Hivi tutafika kweli kwa style hii? Kwamba duka kujaa vitu ana dharau elf30 yangu hivi wabongo kuwa na ka duka Cha spea za simu, simu mpya /used charger nk unaona Kama dunia yote yako daa...Imeniuma Sana.

Hivi matajiri wenzetu huko mambele na wenyewe wanadharau? Ile kukudharau sababu unanunua labda earphone za elf 5 hajui pesa ndogo na kubwa ndo zimemfanya afikie hapo kwa sasa
Jana nimehama Lodge moja Ubungo kutokana na kukosekana kwa maji, niliwaarifu kwa simu mapokezi kwamba room yangu hakuna maji, nikaambiwa subiri, nikasubiri kwa dakika 7 nikapiga simu tena kuwakumbusha, nikajibiwa chukua ndoo hapo nje kinga maji room 111 au tumia room hiyohiyo kuoga, sikuamini masikio yangu kwa hadhi ya lodge ile, nikaenda mapokezi kujiridhisha namkuta mhudumu, binti amesuka rasta zake ameweka miguu juu ya sofa busy na simu hana time.
 
Kwamba huyo jamaa ange mkaribisha tu mteja na kumweleza kwamba anamalizia kumhudumia mteja mwengine kwenye simu angepungukiwa nini?
Akili zako siyo akili zake huyoo mtoa huduma!! unajuaje km hakumuona je?.... Ok! km alijua kuwa mteja wake ni mwelewa au si mwelewa??

Ok huyu amezama kimazungumzo atasikilizaje kuwili?...Nooo! hata huyo mteja mleta Mada ana makosa, kosa lake ni kuhisi kudharauliwa ajili ya mwonekano wake wa hovyo! kaelimu kadogo si unajua hawa watu hawjiaminiga hawa!

Lkn angekuwa Bonge la msomi/mipesa/diaspora weee! walaa isinge mtoa jasho!.....ndo kwaanza linakaa linapumzika yanakuwaga na Lugha nzuri sana! Lugha rafiki. Lugha tamu.iliyo jaa mafuta mafuta..

Yaani wateja matawi bana heee!! raha sana... utawapenda hata ukimchukia lazima utajikuta tu amesha kuwa Rafiki hawana hasira za kijinga wale watu!...tatizo linakuja Vidampa km mleta mada! eee bana weeee!

km ni Mfanyakazi ndo umemjibu kidampa km mleta mada! atakusema kwa Bosss weee! ili ufukuzwe kazi, afurahi na hawa wa hivi watakuwa wanakuja pale mara kwa mara ili uwajibu hovyo wakaseme!

Dawa Yao hawa ndogo sana tu!...ukiwapiga hiyoo watapotea na uongo wao faster!...wakilazimisha wanapata kifafa cha ghafla! km mwana jf una wateja wa ivi km mleta mada ni tag in box!...uwakomeshe!

Nasema ivo kwa kuwa wengine ni wachawi tu! waharibifu! wanakuonea wivu tu! sasa kwa mfano unakuja kuanika biashara ya mwanaume mwenzio humu!...si uchawi huu! tena unakomaa na mi avatar kibao!
 
Back
Top Bottom