Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Kumtumaini Mungu ni chanzo Cha maarifa usipende uchawi utakupoteza shauri yakoJamani Million 10, 5 kidogo hizo? kweli?.......Bana wee! wengine nyie chuma ulete tuu! asa nikukaribishe chuma ulete ili iweje??...yaani wewe ukija kiivo ni ndita/ ngumi tu! mmezoea!
nikuangalie wkt niko kazini??? hutaki si uende kwingine bana?? niache na mali zangu kwani lazima ununue hapa?? ukitaka kuonwa nenda Miss world huko!
Jamani nakuroga weye chuma ulete! mbona jambo dogo sana tu!
Loool hako ka yesu kenu kakijana kazungu ka vatican, hako ndo unakategemea? kwanza hakana hata msuli yaani kakija nakapiga makofi mbili tatu kuleee.Sasa kwetu tumezoea kumtumaini bwana ni chanzo Cha maarifa okoka update akili acha kutembea naguvu za Giza
Huyu jamaa maneno tu et yeye ni "boss"Kumtumaini Mungu ni chanzo Cha maarifa usipende uchawi utakupoteza shauri yako
Ndg mbona hamnielewi mungu wako wa RC hanihusu huyo kwanza simtaki! mwizi tu, mbaguzi wa rangi, mkoloni yaani weye mtu kakuuza utumwani bado unamuona mungu umerogwa weye si bure!Kumtumaini Mungu ni chanzo Cha maarifa usipende uchawi utakupoteza shauri yako
Ndio anakupa pumzi anakulinda hapo ulipo isingekuwa yeye ungekuwa wapi??Ndg mbona hamnielewi mungu wako wa RC hanihusu huyo kwanza simtaki! mwizi tu, mbaguzi wa rangi, mkoloni yaani weye mtu kakuuza utumwani bado unamuona mungu umerogwa weye si bure!
Nani?? SijaelewaHuyu jamaa maneno tu et yeye ni "boss"
huyo huyo pang'ang'aNani?? Sijaelewa
Nieleweshe basihuyo huyo pang'ang'a
Huyo samakiNieleweshe basi
Hata km mie siyo Boss, ni Bosss lkn wateja wengine km mleta mada siyo wafalme bana ndo ukweliHuyu jamaa maneno tu et yeye ni "boss"
amekosa nini>? mnataka kumroga au?Huyo samaki
Weee thubutuuu! ka mungu kavatican ni kako!Ndio anakupa pumzi anakulinda hapo ulipo isingekuwa yeye ungekuwa wapi??
Ni huruma zake
biashara yako inategemea mteja kwa namna yoyote lakini mteja hategemei biashara yako. Acha kuajiri watu kafanye mwenyewe kwa mienendo hyo uone kama utamaliza miaka 2. Kwanza nina wasi naweweHata km mie siyo Boss, ni Bosss lkn wateja wengine km mleta mada siyo wafalme bana ndo ukweli
wewe ni mbambara tu huna lolote kwenye biashara.amekosa nini>? mnataka kumroga au?
Mie Nakwambia ndo maana ulifukuzwa pale Dukani! unadhihirisha hapa! na ulistahili na utastahili hayo! kifupi walikudharau! ndo km hivi!Huna duka we kapuku ,, wewe Ni mnuka mnduku mmoja hauna kazi za kufanya
Unaongea kilugha?? its primitive nonsensical! ongea kiswahili /kienglish!wewe ni mbambara tu huna lolote kwenye biashara.
kupitia kile mtu asemacho utajua yeye ni nani
Inaonekana wewe ni ke hakuna mwanaume wa hiviMie Nakwambia ndo maana ulifukuzwa pale Dukani! unadhihirisha hapa! na ulistahili na utastahili hayo! kifupi walikudharau! ndo km hivi!
eti wajamani muoneni eti huyu awe mteja wa mtu kweli wa duka kubwa, hapo hunijui sikujui lkn uko hivi? unaweza kuwa unaongea Na Nabii wako! eti unatukana!! Mfalme gani ana domo chafu hivi??
Halafu eti anajua matumizi ya wembe wajameni? mweee!! ongea point tukuelewe siyo unaleta za matusi hapa! Labda nikusaidie ulistahili ile huduma mbovu na itakuandama Duniani mpaka kaburini!
Wakurya ndo mlivyo tunawajua kuwa mna ubabe wa kizamani sana! sikia sasa nahitimisha ''utafukuzwa sana, mpaka ukose Makao'', niamini mie na hiyo Guest Bubu yako! utafunga rasmi miezi mitatu ijayo nakupa!
Hayo ndo i matokeo ya division ooooo!.......hivi vitu viwili vinategemeana! hujui kitu naongea na mburula tubiashara yako inategemea mteja kwa namna yoyote lakini mteja hategemei biashara yako.
Usidandie gari kwa mbele wapi nimesema mie ni me!??Inaonekana wewe ni ke hakuna mwanaume wa hivi
Nina uhakika wewe haunizidi elimu hata kwa huo uchawi wako halambi!Hayo ndo i matokeo ya division ooooo!.......hivi vitu viwili vinategemeana! hujui kitu naongea na mburula tu