Bongo huduma kwa wateja ni sufuri

Mbona povu limekutoka sana , itakuwa ndio tabia zako sio bure ,mteja ni mfalme ,bila wateja huwezi kuishi mjini km unafanya biashara tulia dawa ikuingie
Kuelimishwa bure siyo povu!! tulia upate maarifa! sikia sasa ''Mfalme ni kidampa tu! ajifunze kuwa na adabu'' kwani ni akina nani wamempa madaraka huyo Mfalme wenu kilaza, ni sisi tunae mlipa kodi kupitia maduka yetu ili aishi??

Tunamtuma sisi kwa kodi zetu aende nchi mbali mbali atuwakilishe! tukimkataa huyo Mfalme ataongoza majini?? tena tunampindua kiulainii tukiamua, si angalia tu ndugu Mfalme jiwe yuko wapi?

tulimfukuza akasahau hata kutubu! Angalia Mfalme kikwete aliishi kwa adabu zake huyo hapo!! Duniani anakula kona km kawa! na posho tunamlipa kwa hiari km zooote sisi wenye Maduka!

sababu alijua kuishi kwa adabu na sisi wenye maduka makubwa na viwanda! tukamtangaza kwa hela zetu hizi!! hizi! tukamlipa posho aende huko Duniani!!

Mfalme ni adabu kwanza kwa Umma anaouongoza! ndo awe mfalme! siyo dharau kwa unao waongoza weeeee!! huna damu ya kifalme naona!
 
Toka kwenye huo usingizi utachelewa sana
 
mbususu yake Haina wateja hata angeringa Sana
Sawa weye hukutoka kwenye Mbusus Mkuu! tena ukalia haswaaa! ungeiheshimu basi hata kidogo hiyo mbusus ilo kutoa mkuu! si dhani km yupo aliye itumia hiyo mbususu
 
Kaajiriwa duka la infinix huyo Hana mtaji mbususu yake Haina wateja hata angeringa Sana
Anapenda utajiri ila nyota ya mjusi
Kabisa huyu kaajiriwa kwenye duka la mtu analipwa elfu sabini km sio 80 ,sasa wateja wanakuja anaona kama wasumbufu maana akiangalia kazi anayofanya na pesa anayolipwa ni vitu tofauti ,sasa kaona hasira atumalizie sisi ,ww dada hayo maisha umeyachagua mwenyewe asituletee makasiriko sisi atulie amalize dozi yake kwanza
 
ukweli siyo usingizi mkuu jitafakari! Mfalme kidampa tu!! anaweza pigwa chini any time akawa nothing! vilevile!
Ntakuja nimwambie boss wako akuongeze mshahara maana naona unakoelekea siko ,subiri ntaongea na boss wako atakuongezea mshahara sawa dear wangu
 
Jamani elfu 80, ndogo?? hiyo kubwa sana kwangu! nitafika mbali mnoo!...km mteja msumbufu muelezee aache kukusumbua kwani shida iko wapi??...hasira siyo dhambi hata Mungu anazo! na mie nimeumbwa kwa mfano wake!
 
Mshahara wangu unanitosha sana tu! usihangaike labda unayo mengine
Ntakuja nimwambie boss wako akuongeze mshahara maana naona unakoelekea siko ,subiri ntaongea na boss wako atakuongezea mshahara sawa dear wan
 
sisi sio watoto huna unachojua
Nyie ni vitoto vizee, tena vya shule nzee, ni kwamba usijekuwa Mfalme ukadhania utakaa ivovivo milele, au hutapinduliwa na ukabaki nothing Maisha yako yoooote! la hasha!

jifunze kuwa km Mfalme kikwete! ana/alivo heshimu watu, na watu wakamuheshimu na Dunia ikamuheshimu! angalia alipo...inapendeza kwakweli! Mama nae vilevile!
 
Nime cheka sana.... Ujue wewe una hasira zako umeona uzimalizie KWa mtoa mada.... Afu usikute ni mfanya kazi mahala, tena wale wafanya kazi ambao mnapiga soga ofisini mteja akiwa anasubiri (Hapo natania usihamaki)...
Tukirejea kwenye lengo la mtoa mada.... Kwamba huyo jamaa ange mkaribisha tu mteja na kumweleza kwamba anamalizia kumhudumia mteja mwengine kwenye simu angepungukiwa nini?

Hivi ushawahi kuingia benk wale watoa huduma KWa wateja wanavyo kuwa waungwana KWa wateja? Hata kama anatoa huduma KWa mteja mwengine utaambiwa karibu na tafadhari subiri mteja mwengine akimaliziwa kupata huduma......


Acha uvivu ndugu..... Umehamaki kama vile umepigwa nyundo ya utosi bwana..... Muda wa kazi kazi ifanyike
 
Una matatizo ya akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…