smaki
JF-Expert Member
- Jan 23, 2019
- 4,976
- 3,098
Kuelimishwa bure siyo povu!! tulia upate maarifa! sikia sasa ''Mfalme ni kidampa tu! ajifunze kuwa na adabu'' kwani ni akina nani wamempa madaraka huyo Mfalme wenu kilaza, ni sisi tunae mlipa kodi kupitia maduka yetu ili aishi??Mbona povu limekutoka sana , itakuwa ndio tabia zako sio bure ,mteja ni mfalme ,bila wateja huwezi kuishi mjini km unafanya biashara tulia dawa ikuingie
Tunamtuma sisi kwa kodi zetu aende nchi mbali mbali atuwakilishe! tukimkataa huyo Mfalme ataongoza majini?? tena tunampindua kiulainii tukiamua, si angalia tu ndugu Mfalme jiwe yuko wapi?
tulimfukuza akasahau hata kutubu! Angalia Mfalme kikwete aliishi kwa adabu zake huyo hapo!! Duniani anakula kona km kawa! na posho tunamlipa kwa hiari km zooote sisi wenye Maduka!
sababu alijua kuishi kwa adabu na sisi wenye maduka makubwa na viwanda! tukamtangaza kwa hela zetu hizi!! hizi! tukamlipa posho aende huko Duniani!!
Mfalme ni adabu kwanza kwa Umma anaouongoza! ndo awe mfalme! siyo dharau kwa unao waongoza weeeee!! huna damu ya kifalme naona!