Siyo dhambi kwa sababu, Miongozo ya kazi, kuelimishana Kazini ni sehemu ya soga, km haitoshi Mungu alipoumba Dunia na vyote vilivyomo alifanya ile kazi kwa siku saita...
ya saba akapumzika sasa alipokuwa anaumba .....alikuwa anatamka kwa kupiga soga, alikuwa ana piga soga na nani...hilo ni somo jengine na wkt mwingine!.........
Bila shaka km umeumbwa kwa mfano wake, kupiga soga ni lazima, lkn km hujaumbwa kwa mfano wake utafanya kibu-bubu, na lazima utaharibu tu!...kufanya kazi pale unaumba jua ivo!
Hakuna sehemu iliyoandikwa kwamba kupiga soga kazini ni dhambi, inategemea mtu anaye tafuta huduma una uelewa kiasi gani kuna wengine wana akili ndoogo sana wanatafsiri wanavotaka....
Mfano Madaktari wanapofanya Operesheni lazima wanaongea lkn mgonjwa kilaza, km weye Utadhania wanapiga soga kwa kuwa hujui kiingeredha chao cha lugha ile!...utakacho kifanya ni kuwaandika magazetini!