Bongo Movies kumshitaki DJ Mark (Anayetafsiri movies za nje)

Bongo Movies kumshitaki DJ Mark (Anayetafsiri movies za nje)

Uzalendo hautafutwi kwa kulazimisha,kinachotakiwa wao bongo movie kuishauri serikali kupitia wizara husika kuunda bodi chini ya Basata kuratibu filamu na sanaa nchini.
Miongoni mwa majukumu ya bodi yao iwe ni kuhakiki,kusajili na kufuta sanaa/filamu/films zisizokidhi viwango.
Kusajili films/filamu za nje na kutoa utambulisha wa wanaotafsiri kwa ufasahaa.
 
3435301278d3558e7c70f5f2766229be.jpg
Duh!!!
 
Dj murphy analipa kodi na anatambulka hata ukifanya vigisu vigisu za movie zake anakushtak so tutaona mwisho wake
Hawajapata kibali halali wanachakachua kupitia vibali vya kuuza accessories/ stationeries halafu wanatumia kuBurn movies kitu ambacho TRA hawakubali ndio maana kila mara wanakimbizwa na tra. Kupata kibali cha kuuza movie ya mtu ni mpaka movie ifikishe miaka 50.
 
Akiongea kwenye E-News ya East Africa Yusuph Mlela amesema Bongo Movies wameanza taratibu za kumshitaki jamaa maarufu anaetafsiri movies za nje maarufu kama Dj Mark na wengine wote wanaotafsiri movies za nje na kuwaharibia soko la Bongo Movies.

Mlela, "Tumeanza taratibu za kumshtaki jamaa sisi tunataka movies za nje zifuate taratibu kama sisi tunavyofuata ili kuwe sawa".

Bongo movies wameamua.
Waambie waanza na yule aliye tafasiri move ya yesu kwanza
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Mkuu sema bongo movie wanataka wamkomoe DJ Murphy sasa wao kwa mfanohata wasipolipa kodi kwa ubunifu huu nani atahangaika nao?
Kwanza walipe kodi mambo ya ubunifu yanaendelea kufanyiwa kazi huwezi kuwa mbunifu wakati hupati pesa za kutosha yaani wengine wanawin soko peke yao.
 
Anazo ndo maana nikakwambia nenden ofini kwake ukachek
Sticker haziwekwi ofisini sticker zinabandikwa kwenye movie zinaonekana wazi kabisa kwa kila anayenunua sijawahi kuona hizo sticker kwenye CD zote za nje Bali kila CD ya kibongo lazima kuna sticker
 
Sticker haziwekwi ofisini sticker zinabandikwa kwenye movie zinaonekana wazi kabisa kwa kila anayenunua sijawahi kuona hizo sticker kwenye CD zote za nje Bali kila CD ya kibongo lazima kuna sticker
Tunachozungumzia sisi ni wao kulipa kodi TRA kwa biashara wanayofanya so ukienda kwa ofisi utakuta wamebandika lessen na TIN no
 
Mbona hata wao zao zimetafsiriwa tena kwa broken English watu hawasemi
Kwa sab nyingi hamsemi na wao wasiseme? Ukimuona mtu anaiba bila kukamatwa nawe ukaibe ukikamatwa useme mbona mwingine hajakamatwa ili uachiwe?
 
Back
Top Bottom