Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Hao mabongo movie ni waganga njaa tu wanashindwa kufanya kazi ikaonekana wanaanza majungu ya kilumumbaSikiliza wewe usitake kutuzingua...
Soko ni bidhaa yako tu..
Kariakoo maduka ya nguo kibao, hapa shati sh. 20,000 lkn duka la pili shati sh. 50,000. Na biashara inafanyika.
Mbona hamna longolongo???