Hiyo siyo inayotakiwa kwenye swala la movie zinatajiwa sticker maalum kwa kila CD inauzwa shs 300 halafu inatakiwa ikakaguliwe bodi ya filamu kwa shs 500000 na wao wafanye hivyo kabla ya kuuza dukani.Tunachozungumzia sisi ni wao kulipa kodi TRA kwa biashara wanayofanya so ukienda kwa ofisi utakuta wamebandika lessen na TIN no
Na mwingineEng Hassan
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Wawafungulie mashitaka na wenye ma-bus hasa ya safari ndefu kwa kuonyesha bongo movie bila ridhaa yao,watusaidie maana kuangalia ushuzi wa Bongo movie kutoka Dar–Mwanza ni zaidi ya kero nishagombana sana na makondakta.
Na wewe ni bongo movie?Tunachozungumzia sisi ni wao kulipa kodi TRA kwa biashara wanayofanya so ukienda kwa ofisi utakuta wamebandika lessen na TIN no
Hapana me nilikuwa nazungumzia swala la DJ Mack na Marphuy kuwa na vibali vya biashara yaoNa wewe ni bongo movie?
Nyie mmekuwa TRA?acheni TRA ifanye kazi yake.Inaijua vizuri.Zifuate utaratibu ikiwemo kulipa kodi
Hapana,tayari kuna regulations za kutosha kuratibu masuala ya sanaa na movie.Tupo kwenye ulimwengu wa utandawazi, kuwa na bodi inayohakiki video za nje ni kutofahamu wakati tuliopo.Ukienda hapo inabidi uunde na tume ya kusimamia habari za TV za nje, miziki ya nje, na habari za mitandao ya nje inayoonekana Tanzania, sasa jiulize tukifanya yote haya tutafika?hatuwezi kuwa kisiwa.Uzalendo hautafutwi kwa kulazimisha,kinachotakiwa wao bongo movie kuishauri serikali kupitia wizara husika kuunda bodi chini ya Basata kuratibu filamu na sanaa nchini.
Miongoni mwa majukumu ya bodi yao iwe ni kuhakiki,kusajili na kufuta sanaa/filamu/films zisizokidhi viwango.
Kusajili films/filamu za nje na kutoa utambulisha wa wanaotafsiri kwa ufasahaa.
DJ Murphy alivyoitendea haki udaaan wamshitakije jamii haitakuelewaBongo movie wameishiwa swagga, sasa kwa mfano jamaa (Dj Murphy) akafuata taratibu za kulipa kodi na taratibu zote halafu akaendelea kutafsiri, watakuja na swagga gani tena?
Hizo subtitles ni balaaAta wakimshitaki hatutaangalia movie zao kwa upumbavu kama huu
duh...kwa hiyo na hawa wanaouza bongo movie kwenye maduka wanafanya makosa...maana hakuna bongo movie hata moja iliyofikisha miaka 50Hawajapata kibali halali wanachakachua kupitia vibali vya kuuza accessories/ stationeries halafu wanatumia kuBurn movies kitu ambacho TRA hawakubali ndio maana kila mara wanakimbizwa na tra. Kupata kibali cha kuuza movie ya mtu ni mpaka movie ifikishe miaka 50.
Kama nyingi sana hiz ni mil 10.. Anajiona ana hela mpaka mapicha ... Duuuh.Yusuph Mlela
View attachment 503825