Hiyo siyo inayotakiwa kwenye swala la movie zinatajiwa sticker maalum kwa kila CD inauzwa shs 300 halafu inatakiwa ikakaguliwe bodi ya filamu kwa shs 500000 na wao wafanye hivyo kabla ya kuuza dukani.Tunachozungumzia sisi ni wao kulipa kodi TRA kwa biashara wanayofanya so ukienda kwa ofisi utakuta wamebandika lessen na TIN no