Bongo Movies kumshitaki DJ Mark (Anayetafsiri movies za nje)

Dj mark ni wa Dar humjui duh utakuwa mwoga kuangalia mapicha ya kutisha kama mazombi mavampire na etc tena nimaarufu sana kuliko huyo Dj mafy anapenda kupiga mrusi na kusema wanakuja
Mzee wa achecheeee!!
 
Picha za wauza sura na mapaja nimezipiga marufuku nyumbani kwangu... Spendi ujinga kabisa... Wakajipange upya!!!! BURIANI KANUMBA...!!!
 
Hawa bhana waanze ufanisi haya sio madawa ya kilevya hii n kazi bhana
 
Wao wenyewe wanaangaliaga za nje alizotafsri mark.
Wamemjuaje kama nawao sio wateja?
 
hawa hawana akili kabisa, mbona Mkandala Rufufu alikuwepo na wakati hule movies ziliuzika
 
Wakome kushiriki kwenye siasa za CCM, wapuuzi wakubwa hao
 
Wakimaliza hapo wanishitaki na mimi kwa kutozipenda muvi zao na kuangalia za nje.
 
Labda wajuzi wa sheria mnisaidie anayetafasiri amevunja sheria gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…