Bongo Movies kumshitaki DJ Mark (Anayetafsiri movies za nje)

Bongo Movies kumshitaki DJ Mark (Anayetafsiri movies za nje)

Dj mark ni wa Dar humjui duh utakuwa mwoga kuangalia mapicha ya kutisha kama mazombi mavampire na etc tena nimaarufu sana kuliko huyo Dj mafy anapenda kupiga mrusi na kusema wanakuja
Mzee wa achecheeee!!
 
Ata wakimshitaki hatutaangalia movie zao kwa upumbavu kama huu
6a5253fc4b1a254e6890064148e33f55.jpg
Hahaaa hizo subtittle ni noma
 
Picha za wauza sura na mapaja nimezipiga marufuku nyumbani kwangu... Spendi ujinga kabisa... Wakajipange upya!!!! BURIANI KANUMBA...!!!
 
hawa hawana akili kabisa, mbona Mkandala Rufufu alikuwepo na wakati hule movies ziliuzika
 
Wakome kushiriki kwenye siasa za CCM, wapuuzi wakubwa hao
 
Wakimaliza hapo wanishitaki na mimi kwa kutozipenda muvi zao na kuangalia za nje.
 
Labda wajuzi wa sheria mnisaidie anayetafasiri amevunja sheria gani
 
Back
Top Bottom