Bongo Movies kumshitaki DJ Mark (Anayetafsiri movies za nje)

Sorry mkuu
Kama unapicha au unaweza pata picha ya Dj Mark naomba uniwekee nimuone au acc yake ya Insta or Fb nim follow
Iv ni kweli humjui dj mack au unaleta swaga tu kwa sabb huyu dj mkongwe kabisa
 
Tangu Gwiji la filamu lidedi sikuwahi kununua filamu ama kuwa na mood ya kuangalia tena
 
Utakuta movie inaitwa ''my dead living mother'' halafu lugha inayotumika ni lugha ya kiswahili
 
Nani aliekulazimisha au unatafuta kiki kwangu. Mm nimesema Dj Afro ni noma zaidi ya huyo mwingine. Sasa hapo nimekulazimisha au wasaka nn kwangu mkuu??
 
wanajisumbua uwezi nilazimisha kununua kitu nisichopenda tena ndio tususe kbs tuwaache waangalie wenyewe na madude yao mtu anaweka sumu alf anaonja km imekolea alf anampa mtu eti mtu anaathilika ye alieonja yuko powa
 
Iv ni kweli humjui dj mack au unaleta swaga tu kwa sabb huyu dj mkongwe kabisa
Hivi kama ningekua namjua ningeuliza?
Ili nipate nini?
Sijawahi fika Dar mie nipo katavi kama unapicha zake nigei
 
Nani aliekulazimisha au unatafuta kiki kwangu. Mm nimesema Dj Afro ni noma zaidi ya huyo mwingine. Sasa hapo nimekulazimisha au wasaka nn kwangu mkuu??
Una umaarufu gani kwa Mfano hadi nitafute kiki kwako hahaha tufanye yameisha kiongoz maana tunaweza lumbana kwa mambo yasiyokuwa na msingi tukamkosea Mungu sorry pia kama sms yangu ilikukwaza Amani ni kitu cha Msingi sana good day bro
 
Hivi kama ningekua namjua ningeuliza?
Ili nipate nini?
Sijawahi fika Dar mie nipo katavi kama unapicha zake nigei
DJ mark ni DJ maarufu sanaaa mwenye maskani yake Jiji ARUSHA maeneo YA Ungalimited karibu na kanisa kubwaa kabsaa la kikatoliki LA MOYO SAFI,,, karibu
 
Hahaaa nipo apa naangalia ɓongo movie jini limeenda ƙununua nguo waneshindwana bei ndo linarudi
 
Reactions: y-n
Waache kucopy na ku paste, waongeze ubunifu
 
Kuna baadhi ya movie za kibongo wana copy mpaka soundtrack za movie za ng'ambo, sipati picha nao wakishitaki kwa kuibiwa ubunifu wao.
 
Una umaarufu gani kwa Mfano hadi nitafute kiki kwako hahaha tufanye yameisha kiongoz maana tunaweza lumbana kwa mambo yasiyokuwa na msingi tukamkosea Mungu sorry pia kama sms yangu ilikukwaza Amani ni kitu cha Msingi sana good day bro
Aisee fanya mambo yako
 
Huko hakuna move ilakinachoendelea niumalaya 2..ndiyomaana wameshindwa kupiga hatua ..tokea kanumba afe bongo move nayo ikafa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…