Bongo Movies kumshitaki DJ Mark (Anayetafsiri movies za nje)

Bongo Movies kumshitaki DJ Mark (Anayetafsiri movies za nje)

Sorry mkuu
Kama unapicha au unaweza pata picha ya Dj Mark naomba uniwekee nimuone au acc yake ya Insta or Fb nim follow
Iv ni kweli humjui dj mack au unaleta swaga tu kwa sabb huyu dj mkongwe kabisa
 
Tangu Gwiji la filamu lidedi sikuwahi kununua filamu ama kuwa na mood ya kuangalia tena
 
Utakuta movie inaitwa ''my dead living mother'' halafu lugha inayotumika ni lugha ya kiswahili
 
Nikae kimya kwa kipi sasa kila mtu Ana test zake kuna wengine wanaona Chibu ni bora kuliko kiba, kuna wengine wanaona Pepsi ni tamu kuliko Coca-Cola, kuna wengine wanaona Messi ni moto wa kuotea mbali kuliko CR so kitu unachotakiwa kujua ni kuwa kila mtu anamapenzi yake na test yake
Kwa upande wangu Mark yuko poa kuliko Afro so usinilazimishe kupenda unachokipenda au kuamini unachoamini
Hope umenisoma mkuu
Nani aliekulazimisha au unatafuta kiki kwangu. Mm nimesema Dj Afro ni noma zaidi ya huyo mwingine. Sasa hapo nimekulazimisha au wasaka nn kwangu mkuu??
 
wanajisumbua uwezi nilazimisha kununua kitu nisichopenda tena ndio tususe kbs tuwaache waangalie wenyewe na madude yao mtu anaweka sumu alf anaonja km imekolea alf anampa mtu eti mtu anaathilika ye alieonja yuko powa
 
Iv ni kweli humjui dj mack au unaleta swaga tu kwa sabb huyu dj mkongwe kabisa
Hivi kama ningekua namjua ningeuliza?
Ili nipate nini?
Sijawahi fika Dar mie nipo katavi kama unapicha zake nigei
 
Nani aliekulazimisha au unatafuta kiki kwangu. Mm nimesema Dj Afro ni noma zaidi ya huyo mwingine. Sasa hapo nimekulazimisha au wasaka nn kwangu mkuu??
Una umaarufu gani kwa Mfano hadi nitafute kiki kwako hahaha tufanye yameisha kiongoz maana tunaweza lumbana kwa mambo yasiyokuwa na msingi tukamkosea Mungu sorry pia kama sms yangu ilikukwaza Amani ni kitu cha Msingi sana good day bro
 
Hivi kama ningekua namjua ningeuliza?
Ili nipate nini?
Sijawahi fika Dar mie nipo katavi kama unapicha zake nigei
DJ mark ni DJ maarufu sanaaa mwenye maskani yake Jiji ARUSHA maeneo YA Ungalimited karibu na kanisa kubwaa kabsaa la kikatoliki LA MOYO SAFI,,, karibu
 
Hahaaa nipo apa naangalia ɓongo movie jini limeenda ƙununua nguo waneshindwana bei ndo linarudi
 
  • Thanks
Reactions: y-n
Akiongea kwenye E-News ya East Africa Yusuph Mlela amesema Bongo Movies wameanza taratibu za kumshitaki jamaa maarufu anaetafsiri movies za nje maarufu kama Dj Mark na wengine wote wanaotafsiri movies za nje na kuwaharibia soko la Bongo Movies.

Mlela, "Tumeanza taratibu za kumshtaki jamaa sisi tunataka movies za nje zifuate taratibu kama sisi tunavyofuata ili kuwe sawa".

Bongo movies wameamua.

Waache kucopy na ku paste, waongeze ubunifu
 
Kuna baadhi ya movie za kibongo wana copy mpaka soundtrack za movie za ng'ambo, sipati picha nao wakishitaki kwa kuibiwa ubunifu wao.
 
Una umaarufu gani kwa Mfano hadi nitafute kiki kwako hahaha tufanye yameisha kiongoz maana tunaweza lumbana kwa mambo yasiyokuwa na msingi tukamkosea Mungu sorry pia kama sms yangu ilikukwaza Amani ni kitu cha Msingi sana good day bro
Aisee fanya mambo yako
 
Huko hakuna move ilakinachoendelea niumalaya 2..ndiyomaana wameshindwa kupiga hatua ..tokea kanumba afe bongo move nayo ikafa
 
Back
Top Bottom