D4D
Member
- Sep 2, 2016
- 22
- 31
Dj mark ndio mkongwe kuliko dj muphfyHuyo Dj mark ni wa wapi mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dj mark ndio mkongwe kuliko dj muphfyHuyo Dj mark ni wa wapi mkuu
Iv ni kweli humjui dj mack au unaleta swaga tu kwa sabb huyu dj mkongwe kabisaSorry mkuu
Kama unapicha au unaweza pata picha ya Dj Mark naomba uniwekee nimuone au acc yake ya Insta or Fb nim follow
Nan hilo gwiji la filamu lilidedTangu Gwiji la filamu lidedi sikuwahi kununua filamu ama kuwa na mood ya kuangalia tena
Nani aliekulazimisha au unatafuta kiki kwangu. Mm nimesema Dj Afro ni noma zaidi ya huyo mwingine. Sasa hapo nimekulazimisha au wasaka nn kwangu mkuu??Nikae kimya kwa kipi sasa kila mtu Ana test zake kuna wengine wanaona Chibu ni bora kuliko kiba, kuna wengine wanaona Pepsi ni tamu kuliko Coca-Cola, kuna wengine wanaona Messi ni moto wa kuotea mbali kuliko CR so kitu unachotakiwa kujua ni kuwa kila mtu anamapenzi yake na test yake
Kwa upande wangu Mark yuko poa kuliko Afro so usinilazimishe kupenda unachokipenda au kuamini unachoamini
Hope umenisoma mkuu
Hivi kama ningekua namjua ningeuliza?Iv ni kweli humjui dj mack au unaleta swaga tu kwa sabb huyu dj mkongwe kabisa
Una umaarufu gani kwa Mfano hadi nitafute kiki kwako hahaha tufanye yameisha kiongoz maana tunaweza lumbana kwa mambo yasiyokuwa na msingi tukamkosea Mungu sorry pia kama sms yangu ilikukwaza Amani ni kitu cha Msingi sana good day broNani aliekulazimisha au unatafuta kiki kwangu. Mm nimesema Dj Afro ni noma zaidi ya huyo mwingine. Sasa hapo nimekulazimisha au wasaka nn kwangu mkuu??
Pendelea kutazama picha za kutisha kama mazombi na vampire utamkuta hukoHivi kama ningekua namjua ningeuliza?
Ili nipate nini?
Sijawahi fika Dar mie nipo katavi kama unapicha zake nigei
DJ mark ni DJ maarufu sanaaa mwenye maskani yake Jiji ARUSHA maeneo YA Ungalimited karibu na kanisa kubwaa kabsaa la kikatoliki LA MOYO SAFI,,, karibuHivi kama ningekua namjua ningeuliza?
Ili nipate nini?
Sijawahi fika Dar mie nipo katavi kama unapicha zake nigei
Akiongea kwenye E-News ya East Africa Yusuph Mlela amesema Bongo Movies wameanza taratibu za kumshitaki jamaa maarufu anaetafsiri movies za nje maarufu kama Dj Mark na wengine wote wanaotafsiri movies za nje na kuwaharibia soko la Bongo Movies.
Mlela, "Tumeanza taratibu za kumshtaki jamaa sisi tunataka movies za nje zifuate taratibu kama sisi tunavyofuata ili kuwe sawa".
Bongo movies wameamua.
Aisee fanya mambo yakoUna umaarufu gani kwa Mfano hadi nitafute kiki kwako hahaha tufanye yameisha kiongoz maana tunaweza lumbana kwa mambo yasiyokuwa na msingi tukamkosea Mungu sorry pia kama sms yangu ilikukwaza Amani ni kitu cha Msingi sana good day bro
Gwiji alikuwa Kanumba aiseeNan hilo gwiji la filamu lilided