Bongo Movies kumshitaki DJ Mark (Anayetafsiri movies za nje)

Bongo Movies kumshitaki DJ Mark (Anayetafsiri movies za nje)

Sindano inawauma ukienda kwa muhindi kuulizia malipo anakwambia move haziuziki unahamishia hasira kwa chikorii [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Lazima walipe kodi wasipende dezo
 
Hiyo siyo inayotakiwa kwenye swala la movie zinatajiwa sticker maalum kwa kila CD inauzwa shs 300 halafu inatakiwa ikakaguliwe bodi ya filamu kwa shs 500000 na wao wafanye hivyo kabla ya kuuza dukani.
Ikakaguliwe wapi move zenu ndio zinakaguliwa kwa nchi husika sisi hata bila tafsiri tunaangalia na mtaisoma namba bado
 
Wasitake kutufanya kama raia wa North Korea
 
haya majinga yenyewe yana violate copyright kwenye maigizo yao,yanatumia sfx na soundtracks za hollywood bila aibu yanadhani ni haki yao,stupid mofos.
 
Back
Top Bottom