Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Hahaha hao watu wajinga sanaKmmk umeongea nondo tupu ki uhalisia hii industry imejaa misukule na vibuyu ina watu wa ajabu sana.Hii industry ningetamani ivamiwe na wasomi wanaolalamikia ajira kuna fursa ya kufa mtu.MI NIMEPIGA MARUFUKU KWANGU KWENYE SMART TV YANGU HAPA SEBULENI KUANGALIA USHUZI UNAOITWA BONGO MOVIES...eti utasikia wanasema HAKIKA NI ZA KWETU mama.eeee
Mkuu jinsi ulivyo tukandia sisi vilaza ni wazi kuwa unachuki nasisi na sio filamu. Kwa hiyo tulipokimbia shule na kuwaacha nyie majinias iliwauma eee? mlitegemea maisha yatuchape siyo?
Hahaha labda huko kuzimu aliuza suti yake ili apate nauli ya kurudi.Mi nilishangazwa marehemu kafa wakamzika na suti eti mzimu wake unakuja na KIPENSI alafu umepakwa masizi na chaki...mama.eee walahi
Validπ―Kuangalia Bongo Movie Mara mia uwe una angalia wale jama wa ITV- Mizengwe
π€£π€£π€£βοΈUmepata pesa kaongeze elimu basi,rlimu haina mwisho...ww ndio kwanza unaongeza mke huoni kama ni ukilaza huoMkuu jinsi ulivyo tukandia sisi vilaza ni wazi kuwa unachuki nasisi na sio filamu. Kwa hiyo tulipokimbia shule na kuwaacha nyie majinias iliwauma eee? mlitegemea maisha yatuchape siyo?
Bongo movie kweli ni vilaza sana. Maisha yao yote hawanaga kabisa ubunifu wa aina yoyote kila siku theme yao ni mapenzi tu kila movie ni mapenzi tu yani mapenzi tu kila kona kumbaf zao.
Ukinjekitile ngwale ndo huuAina ya vituko kwenye bongo muvi zetuView attachment 1744912
Sasa mkuu nani unafikiri hapa bongo atakubali asome mpaka chuo au mwanae asome mpaka chuo kisha awe muigizaji?Nani anashida na vilaza?
Shida ni pale Vilaza kuingia kwenye fani zinazohitaji shule alafu mnaboronga.
Mkuu umejuaje km nina wake wawili? Wewe kingo nishakujua kumbe ndo ID yako ya humu ntakutafuta. Na kwa taarifa yako nina mpango wa kuongeza wa 3 nasubiri Mama Samia aweke mambo zawa tu.π€£π€£π€£βοΈUmepata pesa kaongeze elimu basi,rlimu haina mwisho...ww ndio kwanza unaongeza mke huoni kama ni ukilaza huo
Basi acheni sio lazimaSasa mkuu nani unafikiri hapa bongo atakubali asome mpaka chuo au mwanae asome mpaka chuo kisha awe muigizaji?
Ni sinema nafikiri aliact Ray my love from ChinaMkuu acha masikhara basi π π π
Ni sinema nafikiri aliact Ray my love from China
Shida wote wanataka kuigiza juu ya mapenzi tu.
Sasa mkuu nani unafikiri hapa bongo atakubali asome mpaka chuo au mwanae asome mpaka chuo kisha awe muigizaji?
Usifananishe developed country and developing country.Usikae unalaumu watu,je wewe umetoa mchango gan kwenye tasnia?Mtoa mada umeongea Jambo la mbolea Sana , nilifatilia CV ya Michael Scofield kwenye series ya Prison Break ,aisee jamaa mpak ana master's ya uigizaji , yaani kiufupi Tu Holywood huwez kupewa script kama shule ni zero kichwani.
Bongo movie hawana jipya Kwa sababu ni poor in education , hebu niambie kama kuna kipande cha kuiendesha ndege au meli nani atacheza ?.? Hata masuala ya ku-crack code za Mawasiliano hcho kipengele Nani atacheza ?? Wanabaki Tu na vitu normal kama Mapenzi , kuendesha vigali basi., na kufunguliana mageti huku wakiwaza
Umejibu kisomiAcheni kuwasakama bongo movies. Sababu ni zile zile;
1.Lack of capital. Stori inahitaji props zinazoendana na script lakini Bajeti ni Tsh. 400,000. Unategemea nini ?
2. Lack of/No Government support. Serikali inataka wasanii wasajili Drones kila unaposhoot hata scene moja kwa sababu za kisiasa. Ukienda kuomba location ya kituo cha Polisi unanyimwa, mahakamani unanyimwa, ofisi ya umma unanyimwa na stori inahitaji uhalisia. Kuvaa sare za askari ni tatizo, mlolongo ni mrefu na hauna matumaini. Unategemea ubora?
3. Poor tools and equipments. Vifaa vya wenzetu ni professional zaidi. Camera na Lens ni cinematic, vifaa vya kuongeza effects CGI etc.
etc. etc.