Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Nimeona wengi wakitaka kustaafu haraka wapate pesa zao 'Wakafanye kazi.' Wengi sana.Hapo kwenye kutamani kustaafu umeandika kinyume-nyume, bongo hakuna aliye tayari kustaafu.
Mimi paka leo na shangaa akili za wtzania walio wengi, hawapendi kufanya kazi during their 'productive age' wa naona kukuepa kazi ni ujanja, mtu mzima kabisa ana kuambia bora niajiliwe serikalini kule ni kuzuri hamna kazi ni kukaa tu na kusubilia mshahara na marupurupu ya bure mengi, mtumishi anaingia ofisi anaacha koti lake kwenye kiti af anatokomea bar paka saa 8 mchana.Tanzania tuna utaratibu wa kushangaza. Mtu akistaafu ndiyo anaanza kufanya kazi, tena kwa bidii na maarifa zaidi. Huko ughaibuni mtu akistaafu anaanza kusafiri kutalii. Anatulia akiburudika na michezo au hobby mbalimbali. Huku kwetu hali tofauti kabisa. Mtu akistaafu ndiyo kazi inaanza. Tena anakuwa anatamani astaafu haraka ili apige kazi kisawasawa.
Huu utaratibu una shida yeyote? Kuna haja ya kubadilika?
Nimeona wengi wakitaka kustaafu haraka wapate pesa zao 'Wakafanye kazi.' Wengi sana.
Ukistaajabu ya wastaafu kufanya kazi kwa bidii utaona ya uteuzi. Hapa Bongo kuna watu wanastaafu na kisha kupata teuzi za kuongoza Bodi za Mashirika ya Umma.Tanzania tuna utaratibu wa kushangaza. Mtu akistaafu ndiyo anaanza kufanya kazi, tena kwa bidii na maarifa zaidi. Huko ughaibuni mtu akistaafu anaanza kusafiri kutalii. Anatulia akiburudika na michezo au hobby mbalimbali. Huku kwetu hali tofauti kabisa. Mtu akistaafu ndiyo kazi inaanza. Tena anakuwa anatamani astaafu haraka ili apige kazi kisawasawa.
Huu utaratibu una shida yeyote? Kuna haja ya kubadilika?
Sijui bongo uliyopo wewe. Lakini bongo hii wengi sana sikuhizi wanaopt 55yrs. Wengi wanasubiria kwa hamu kustaafu kwao.Basi unaishi bongo tofauti na hii tunaijua sisi, ukiona mtu kastaafishwa ujue kafanya kila namna imeshindikana kuendelea.
Matatizo ya kiafya ndo hustaafisha wengi kwa hiari.
Sijui bongo uliyopo wewe. Lakini bongo hii wengi sana sikuhizi wanaopt 55yrs. Wengi wanasubiria kwa hamu kustaafu kwao.