Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwanza ukibweteka hufanyi kazi unakufa harakaMfumi wa ajira na sheria za mafao, unastaafu unapata mafao 60m unategemea utasafiri kwenda wapi? Utakula nn? na mungu akikujalia kufika miaka 90, ndio maana wanaanza kazi baada ya kustaafu
Nchi wanazobweteka ndiyo wanaongoza kwa kuishi miaka mingi.kwanza ukibweteka hufanyi kazi unakufa haraka
Mkuu hao huwaga hawana pa kutokea na barua zao za maombi yao ya kuongeza mkataba wa nyongeza kupigwa chini.Nimeona wengi wakitaka kustaafu haraka wapate pesa zao 'Wakafanye kazi.' Wengi sana.