Kwahiyo ile ilikuwa sawa sawa ? Au unataka kuniambia that was acting ? Anyways ukiifungua tu hii post uki scroll down utaona similar discussions mtu mwingine anasema hawa jamaa waache abuse, na ni kweli wana abuse watu na watu hawana cha kufanya sababu wana shida, me binafsi sipend dharau, mtu kama shilole nae anamdharau mtu kwenye mziki na anaenda kabisa kwenye mambo ya ndani kabisa na hapo kwenye mziki hamna kitu, what if her music career was sky rocketing ? Si angenyea watu kichwani ? Me watu kama hao siwateteagi na viwanjani tunakutana nao masta hamna kitu bob. Honestly speaking siwez tetea ishue kama hiyo