toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,283
- 11,253
Yeah kweli lakin kama hiyo namna anayotumia huyo mtu kufikisha ujumbe haifai asiambiwe ? Tutakuwa tunatengeneza jamii ya aina gani ? Inawezekana nimekosea kwasabu I was emotional lakin hiyobhaitoi ukweli kuwa shishi kakosea , yan kosa lake haliwez kufutika kwa kosa langu mimi, inabid ukubali kakosea na inabid ajirekebishe , nothing more nothing lessWewe upo too emotional hujiulizi maswali kabla ya kuchukua maamuzi unafanya maamuzi bila kutafakari na unatafakari pasipokujua nini ni nini na nini ni nini, usilinganishe watu kila mtu ana namna yake ya uwasilishaji ujumbe na kila mtu ana namna yake ya kuzungumza na watu,