Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 16,388
- 51,970
Nimeona pia,, kajiskia vibaya sana basi tu yani[emoji174][emoji174]
Dada amejibu kwa tabasamu lililojaa maumivu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeona pia,, kajiskia vibaya sana basi tu yani[emoji174][emoji174]
Dada amejibu kwa tabasamu lililojaa maumivu.
...Wako busy Kufungia Nyimbo, lakini Ujinga kama huu hawauoni !! [emoji35][emoji35]Basata wako usingizini wanakoroma.!
Nakati zipo Pisi Kali nyingi tu zenye chapaa za asili zisizo na mawaa kama wewe Leejay49 [emoji4]Nimeona pia,, kajiskia vibaya sana basi tu yani
Ebwana hakuna ambae hana jasho hata wewe km kinatema unaambiwa tu hata mbele ya Camera next time utajirekebisha it doesn't matter umeambiwa wapi, sijaona kosa hapo kitu kidogo mnakikuza sana
Elimu! Elimu! ElimuHiki kipindi kadri siku zinavyozidi kwenda kinazidi kuwa cha kidhalilishaji.
Ma judge wamekuwa na tabia za kuattack utu wa watu kuliko hata kuangalia vipaji wanavyopaswa kuangalia.
Shilole alikuwa mchafu mpaka miaka ya hivi karibuni tu baada ya kushika vijipesa sasa ghafla kawa msafi mno kiasi cha kumdhalilisha mwanamke mwenzie kuwa ananuka kwapa kwenye national tv?
Dada wa watu mpaka kakosa pozi na kumuomba Shilole aache kumdhalilisha lakini bado linaendelea kubwatuka tu. Shilole ana kipaji gani kwanza mpaka afanywe kuwa judge?
Kwanini wasikae chini wakaangalia kina Simon Cowell kama huwa wanadhalilisha washiriki kwa umaskini wao?
Salama na Master J wanaamini kudhalilisha washiriki ndio kuwa judge bora.
Acheni huu udhalilishaji
Uongozi anaukwaa soonBongo star nao siku hizi hawana maana, huyo Dada mziki kajua lini, Bora wangempa shavu KINGWENDU.
Na usishangae siku zijazo ni kiongozi 😃😃😃
...Usitetee Ujinga, ndugu yangu. Shilole amechemsha big time.Hakuna alichokosea nimekuuliza wewe ulikuepo pale kwenye eneo la tukio ukathibitisha kwamba kweli Shilole amesema yule binti anatoa harufu ya kwapa je ni kweli ulithibitisha kua ni kweli anatoa harufu na je km ni kweli is it bad kumwambia mtu ukweli? Ulichotaka awe mnafiki? Yes of course kwa wengi watasema pale kwenye camera sababu ya audience mtasema she is wrong lakini yeye ile ni part yake she is playing her role asee she is an actress you see comedian too sasa je nikikwambia alikua ana-make jokes with her will you still be mad?
Shilole ndio kiongozi ajae wa Ccm huyo
Watanzania Hawajui Sheria Huyo Wangemshtaki tu...Hiki kipindi kadri siku zinavyozidi kwenda kinazidi kuwa cha kidhalilishaji.
Ma judge wamekuwa na tabia za kuattack utu wa watu kuliko hata kuangalia vipaji wanavyopaswa kuangalia.
Shilole alikuwa mchafu mpaka miaka ya hivi karibuni tu baada ya kushika vijipesa sasa ghafla kawa msafi mno kiasi cha kumdhalilisha mwanamke mwenzie kuwa ananuka kwapa kwenye national tv?
Dada wa watu mpaka kakosa pozi na kumuomba Shilole aache kumdhalilisha lakini bado linaendelea kubwatuka tu. Shilole ana kipaji gani kwanza mpaka afanywe kuwa judge?
Kwanini wasikae chini wakaangalia kina Simon Cowell kama huwa wanadhalilisha washiriki kwa umaskini wao?
Salama na Master J wanaamini kudhalilisha washiriki ndio kuwa judge bora.
Acheni huu udhalilishaji
Watoto wangu hawapo hukuWewe huangalii Ila wanao wanaangalia au huna watoto huna familia hujui kulipia kingambuzi? Maana ukilipia hizo ndio channel zao sinema zetu na series na mwingine ole wako ubadirishe channel
Binafsi siangaliagi upuz huoWewe huangalii Ila wanao wanaangalia au huna watoto huna familia hujui kulipia kingambuzi? Maana ukilipia hizo ndio channel zao sinema zetu na series na mwingine ole wako ubadirishe channel
Duh aiseShilole ndio kiongozi ajae wa Ccm huyo
Ccm wanachaguaga vilaza sana na kuwapa uongozi
Ana mdomo wa ovyo sana yuleShilole ndio kiongozi ajae wa Ccm huyo
Ccm wanachaguaga vilaza sana na kuwapa uongozi
dah shilole unadahau usilivyokuwa weita florida hotel kariakoo,ulivyokuwa unaliwa na wageni,ukawa unaliwa na mwenye hoteli na ukafikuzwa umesahau huo uchafu uliokuwa unafanya?Hiki kipindi kadri siku zinavyozidi kwenda kinazidi kuwa cha kidhalilishaji.
Ma judge wamekuwa na tabia za kuattack utu wa watu kuliko hata kuangalia vipaji wanavyopaswa kuangalia.
Shilole alikuwa mchafu mpaka miaka ya hivi karibuni tu baada ya kushika vijipesa sasa ghafla kawa msafi mno kiasi cha kumdhalilisha mwanamke mwenzie kuwa ananuka kwapa kwenye national tv?
Dada wa watu mpaka kakosa pozi na kumuomba Shilole aache kumdhalilisha lakini bado linaendelea kubwatuka tu. Shilole ana kipaji gani kwanza mpaka afanywe kuwa judge?
Kwanini wasikae chini wakaangalia kina Simon Cowell kama huwa wanadhalilisha washiriki kwa umaskini wao?
Salama na Master J wanaamini kudhalilisha washiriki ndio kuwa judge bora.
Acheni huu udhalilishaji
Eh huo ni udhalilishaji angemnong'onezaHivi we bwana una majukumu kweli?? Yaan unaumia kwenye ishu kama hiyi