Bongo Star Search hiki mnachofanya ni udhalilishaji

Bongo Star Search hiki mnachofanya ni udhalilishaji

Nadhani ni vyema suala la usafi wa mwili kuanza kufundishwa mashuleni kuanzia darasa la tano mpaka kidato cha nne.

Na usafi wa kwapa liwe mojawapo ya somo.

Na katika somo hilo, isisitizwe kuwa, vikata harufu na vikata harufu na jasho [deodorants na antiperspirant deodorants] si vitu vya anasa.

Ni mahitaji muhimu kwa maisha ya kisasa.

Pia, kama kuna njia za asili za kupambana na harufu na jasho la kikwapa, nazo zifundishwe.

Mimi nipo tayari kusaidia kwenye kuandika mtaala wa hilo somo na hata kujitolea kuwafunza watakaokuwa wakufunzi wa hilo somo huko mashuleni.

Watu wakianza ingali ni wadogo, wakishakuwa wakubwa, hakutokuwa na tatizo la idadi ya watu wengi wenye vikwapa.

Halafu pia nimeona fursa ya kibiashara hapa. Sina hakika, ila sidhani kama tuna kampuni ya ndani inayotengeneza cosmetics zenye ubora lakini zenye bei inayomudika kwa wengi.

Atayeanza kutengeneza deodorants, antiperspirant deodorants, na all over bodysprays zenye ubora mzuri na zenye bei poa, will definitely make a killing.

Wink wink 😜
 
huyoo shilole akili zake ziko kwenye makalio ata yeye sidhani kama ni msafi huko ikulu.

kumbe shilole ni judge wa bongo star search. hiyoo bongo star search imeshapotea sasa shilole anajudge nini sasa? kuimba kwenyewe hawezi.
 
Hili lilishazungumziwa tayari na limekwishajibiwa tayari, Ila bado mnauliza na mnashangazwa yupo pale sio tu km jaji au Msanii au muimbaji au Mchekeshaji n so forth Ila pia ni km influencer kwenye masuala mazima ya ujasiriamali muwe mnafuatilia basi wanapotoa majibu ya maswali yenu
Majibu yako yameendelea kuifanya hiyo show kuwa kituko. Mashindano ya kusaka vipaji vya uimbaji yanahitaji majaji wenye kuufahamu muziki. Kwahiyo sasa Shilole anapima nani anafaa kuwa mjasiriamali au?
 
Waziri anaruka na wale waalim kisa watoto wameimba wimbo uliopewa baraka zote na basata,

Hawaoni udhalilishaji huu?

Madame dorothy yupo huku huku, hebu muiteni
Dkt. Gwajima D na hili pia linamahusiano na udhalilishaji wa kijinsia tafadhali lipitie pia. Nahisi lina uzito kuliko hata watoto kucheza harmlessly na walimu wao.
 
Back
Top Bottom