Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 16,388
- 51,970
wacha weee 😊🤣🤣🤣🙌Nakati zipo Pisi Kali nyingi tu zenye chapaa za asili zisizo na mawaa kama wewe Leejay49 [emoji4]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wacha weee 😊🤣🤣🤣🙌Nakati zipo Pisi Kali nyingi tu zenye chapaa za asili zisizo na mawaa kama wewe Leejay49 [emoji4]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Shilole labda awe jaji kama kutakua na shindano la Mama lishe kushindana mapishi.Hao wajinga , Shilole anakuaje Jaji?
Halafu kuna professor tena waziri yupo anafukuza waalimu kisa wanafunzi kucheza mziki.Basata wako usingizini wanakoroma.!
Na huu ndio ukweli yule ni Teja kama mateja wengine...ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜Nani kakwambia Shilole msafi? Usichokijua kiache hivyo hivyo, mambo mengine hayaandikiki
Hawana sifa za kuwa Majaji, na wanaendeshwa na mihemko binafsi na roho mbaya.Mwaka Jana Salama alimjibu mkaka fulaan hivi, hadi nlitokwa na machozi wallah.
Sio kwa kejeli na dharau zile.
Wewe kuna kitu kichwani kwako hakijakaa sawa,
PunguzaHawana sifa za kuwa Majaji, na wanaendeshwa na mihemko binafsi na roho mbaya.
Kwa hio conclusion yako ipi?Unafikiri ni rahisi mtu ambaye kichwa chake hakijakaa sawa kuona mwingine yupo sawa?
Shindano la kusaka vipaji vya uimbaji halimhitaji mtu mwingine yeyote kuwa jaji zaidi ya wajuzi wa muziki, zaidi ya hapo ndio ujinga huo wa kuleta majaji wasiojua kitu kuhusu muziki wanaishia kutafuta attention kwa kudhalilisha watu.
Kumbuka mambo haya yatakusaidia sana na ujinga utakutoka.
Moja, kuwa mwanamuziki hasa wa zama hizi hakukufanyi uweze kutambua kipaji cha uimbaji, kwanza wengi hawajui kuimba na wa kwanza ni huyo jaji shilole.
Pili, jifunze kuchanganua mambo kwa akili yako na usiwe mtu wa kuambiwa ujinga na kuukubali.
Punguza ujingaWale wanachofanya ni upumbavu tu, wenzao wengine wanaosaka vipaji kama wao hawafanyi udhalilishaji huo
Acha ujingaNa huu ndio ukweli yule ni Teja kama mateja wengine...ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜
Kwa hio conclusion yako ipi?
pumbavu, wajinga ni nyie mnaowadhalilisha wasanii wanaoinukia. Tumewavumilia sana staili yenu ya kuwafanyie judgement. Mnawakatisha tamaa kana kwamba mnamiliki vipaji vyaoPunguza ujinga
Master J hajui mziki? Alafu acha kujitia unajiharibia namaanisha kujitia ujuajiWaambie waache mizaha, watafute watu wanaoujua muziki ndio wawe majaji.
Acha ujinga wewe,pumbavu, wajinga ni nyie mnaowadhalilisha wasanii wanaoinukia. Tumewavumilia sana staili yenu ya kuwafanyie judgement. Mnawakatisha tamaa kana kwamba mnamiliki vipaji vyao
[emoji16][emoji16][emoji16]Ulipga vingap mkuu?!
Sasa nimesema km ulivyosema nyinyi mnachofanya ni exaggerations tu, yaan kitu kidogo mnakikuuuza huoni mwinshoni majaji wameenda kumpa hugs what's wrong with that?
Nitajiju tena ?) Coco nitake radhiNimejibu kivyangu.. nipo nasimamia anahitaji msaada. Wewe andikaaa utakavyo.. utajiju..
Jifunze kufikiria nje ya boksi
Acha ujinga[emoji16][emoji16][emoji16]