Bongo Star Search hiki mnachofanya ni udhalilishaji

Wewe kuna kitu kichwani kwako hakijakaa sawa,
Unafikiri ni rahisi mtu ambaye kichwa chake hakijakaa sawa kuona mwingine yupo sawa?

Shindano la kusaka vipaji vya uimbaji halimhitaji mtu mwingine yeyote kuwa jaji zaidi ya wajuzi wa muziki, zaidi ya hapo ndio ujinga huo wa kuleta majaji wasiojua kitu kuhusu muziki wanaishia kutafuta attention kwa kudhalilisha watu.

Kumbuka mambo haya yatakusaidia sana na ujinga utakutoka.
Moja, kuwa mwanamuziki hasa wa zama hizi hakukufanyi uweze kutambua kipaji cha uimbaji, kwanza wengi hawajui kuimba na wa kwanza ni huyo jaji shilole.

Pili, jifunze kuchanganua mambo kwa akili yako na usiwe mtu wa kuambiwa ujinga na kuukubali.
 
Kwa hio conclusion yako ipi?
 
Sasa nimesema km ulivyosema nyinyi mnachofanya ni exaggerations tu, yaan kitu kidogo mnakikuuuza huoni mwinshoni majaji wameenda kumpa hugs what's wrong with that?

Nimejibu kivyangu.. nipo nasimamia anahitaji msaada. Wewe andikaaa utakavyo.. utajiju..

Jifunze kufikiria nje ya boksi
 
Back
Top Bottom