Bongo Star Search hiki mnachofanya ni udhalilishaji

Hiki kipindi kadri siku zinavyozidi kwenda kinazidi kuwa cha kidhalilishaji.

Ma judge wamekuwa na tabia za kuattack utu wa watu kuliko hata kuangalia vipaji wanavyopaswa kuangalia.

Shilole alikuwa mchafu mpaka miaka ya hivi karibuni tu baada ya kushika vijipesa sasa ghafla kawa msafi mno kiasi cha kumdhalilisha mwanamke mwenzie kuwa ananuka kwapa kwenye national tv?

Dada wa watu mpaka kakosa pozi na kumuomba Shilole aache kumdhalilisha lakini bado linaendelea kubwatuka tu. Shilole ana kipaji gani kwanza mpaka afanywe kuwa judge?

Kwanini wasikae chini wakaangalia kina Simon Cowell kama huwa wanadhalilisha washiriki kwa umaskini wao?

Salama na Master J wanaamini kudhalilisha washiriki ndio kuwa judge bora.

Acheni huu udhalilishaji
Elimu! Elimu! Elimu
 
Hakuna alichokosea nimekuuliza wewe ulikuepo pale kwenye eneo la tukio ukathibitisha kwamba kweli Shilole amesema yule binti anatoa harufu ya kwapa je ni kweli ulithibitisha kua ni kweli anatoa harufu na je km ni kweli is it bad kumwambia mtu ukweli? Ulichotaka awe mnafiki? Yes of course kwa wengi watasema pale kwenye camera sababu ya audience mtasema she is wrong lakini yeye ile ni part yake she is playing her role asee she is an actress you see comedian too sasa je nikikwambia alikua ana-make jokes with her will you still be mad?
...Usitetee Ujinga, ndugu yangu. Shilole amechemsha big time.
Kumwambia Mtu ana kikwapa, mbele ya national tv, ni kumtweza Mtu na Utu wake.
Chukulia wewe mwanao ni Mlemavu wa Mguu, halafu Jinga Moja linamuambia mbele ya national tv kuwa...naona una Mguu mbovu!... wewe utafurahi Kwa sababu mwanao kweli ni Mlemavu ?
Huyo Msichana amemjibu vyema kablsa...VUMILIA! NI YA KIDUNIA! Kwa Ujinga huu Kuna Siku mlemavu wa ngozi Albino atafika mbele yake na kumwambia...naona wewe zeru zeru...na sisi tucheke Eti Kwa vile ameongea kilicho kweli ???
Ujuaji unapaswa kuwa na mipaka! Ni BUSARA ya Kawaida TU isiyohitaji Shule kuubwa !
 
Sijui huwa wanatumia vigezo gan kupata majaji, ila shilole alikosea sana bora angemwambia yeye binafsi na sio kuropoka. Kama kuna namna ya kuweza kuwajibishwa kwa ujinga wao wawajibishwe
 
Hiki kipindi kadri siku zinavyozidi kwenda kinazidi kuwa cha kidhalilishaji.

Ma judge wamekuwa na tabia za kuattack utu wa watu kuliko hata kuangalia vipaji wanavyopaswa kuangalia.

Shilole alikuwa mchafu mpaka miaka ya hivi karibuni tu baada ya kushika vijipesa sasa ghafla kawa msafi mno kiasi cha kumdhalilisha mwanamke mwenzie kuwa ananuka kwapa kwenye national tv?

Dada wa watu mpaka kakosa pozi na kumuomba Shilole aache kumdhalilisha lakini bado linaendelea kubwatuka tu. Shilole ana kipaji gani kwanza mpaka afanywe kuwa judge?

Kwanini wasikae chini wakaangalia kina Simon Cowell kama huwa wanadhalilisha washiriki kwa umaskini wao?

Salama na Master J wanaamini kudhalilisha washiriki ndio kuwa judge bora.

Acheni huu udhalilishaji
Watanzania Hawajui Sheria Huyo Wangemshtaki tu...
 
Wewe huangalii Ila wanao wanaangalia au huna watoto huna familia hujui kulipia kingambuzi? Maana ukilipia hizo ndio channel zao sinema zetu na series na mwingine ole wako ubadirishe channel
Watoto wangu hawapo huku
Mzee,nashukurugi sana kwa hilo
Maana kizaz cha watoto wenu sahv
Kimekata kamba,wakati wa likizo tu
Huwa wanakuja mtembelea baba yao
Baharia

Ova
 
Hiki kipindi kadri siku zinavyozidi kwenda kinazidi kuwa cha kidhalilishaji.

Ma judge wamekuwa na tabia za kuattack utu wa watu kuliko hata kuangalia vipaji wanavyopaswa kuangalia.

Shilole alikuwa mchafu mpaka miaka ya hivi karibuni tu baada ya kushika vijipesa sasa ghafla kawa msafi mno kiasi cha kumdhalilisha mwanamke mwenzie kuwa ananuka kwapa kwenye national tv?

Dada wa watu mpaka kakosa pozi na kumuomba Shilole aache kumdhalilisha lakini bado linaendelea kubwatuka tu. Shilole ana kipaji gani kwanza mpaka afanywe kuwa judge?

Kwanini wasikae chini wakaangalia kina Simon Cowell kama huwa wanadhalilisha washiriki kwa umaskini wao?

Salama na Master J wanaamini kudhalilisha washiriki ndio kuwa judge bora.

Acheni huu udhalilishaji
dah shilole unadahau usilivyokuwa weita florida hotel kariakoo,ulivyokuwa unaliwa na wageni,ukawa unaliwa na mwenye hoteli na ukafikuzwa umesahau huo uchafu uliokuwa unafanya?
 
Shishi kamtendea haki huyo binti wa mkoani wamezidi uchafu. Mimi binafsi sipendi harufu ya kwapa demu akinuka kwapa hawezi kuwa hata mwanangu.
Nb deodorant zipo mpaka buku 5 alafu unyama kabisa
 
Back
Top Bottom