Bongo Star Search hiki mnachofanya ni udhalilishaji

Hiki kipindi kadri siku zinavyozidi kwenda kinazidi kuwa cha kidhalilishaji.

Ma judge wamekuwa na tabia za kuattack utu wa watu kuliko hata kuangalia vipaji wanavyopaswa kuangalia.

Shilole alikuwa mchafu mpaka miaka ya hivi karibuni tu baada ya kushika vijipesa sasa ghafla kawa msafi mno kiasi cha kumdhalilisha mwanamke mwenzie kuwa ananuka kwapa kwenye national tv?

Dada wa watu mpaka kakosa pozi na kumuomba Shilole aache kumdhalilisha lakini bado linaendelea kubwatuka tu. Shilole ana kipaji gani kwanza mpaka afanywe kuwa judge?

Kwanini wasikae chini wakaangalia kina Simon Cowell kama huwa wanadhalilisha washiriki kwa umaskini wao?

Salama na Master J wanaamini kudhalilisha washiriki ndio kuwa judge bora.

Acheni huu udhalilishaji
Na alivyomjibu Kwa huruma kuwa usiseme hivyo ni hali tu ya maisha. Hakika shilole atakiwi kwenye kipindi hicho. Alafu Mungu sio wakudhihakiwa atampiga pigo moja mpaka na yeye shilole atanuka kikwapa.
 
I
Punguzeni basi hizo bullying wazee kwani na nyinyi hamuendi chooni hamnyi hamtawazi? We Coco huendi chooni?
Inaonekana we ndo SHILOLE mwenyewe au chawa wake, maana unamtetea sana. Yule ni mwanamke mwenzie, afu pale mbele panahitaji ujasiri ili uweze ku-perform vizuri utapafom vipi kwa ujasiri ikiwa ushadharirishwa? Acha kutetea upumbavu. Kuna wengine kunuka kikwapa ni ugonjwa unaowasumbua na sio uchafu. Narudia ACHA UPUMBAVU.
 
Bora na wewe umesema mkuu, sio poa kabisa watu wangapi kwenye mbanga zetu tunakutana nao wanatema tunakausha, kama mimi kuna sehemu huwa na shamba la sasa wanaonilimia na kuniangalizia shamba nkiendaga sometime nakutana na madogo wanatema kiaina sijawah hata kuwasema hata siku moja kwasababu ni bush nampa hata twenty nikija kurud next time nakuta yuko poa tu ameshine na kaoga vizuri na kavaa nguo mpya, nikaja kugundua kuwa ni hali ya maisha tu. Anyways mademu bwana kumsitiri demu mwenzie inakuwaga kazi kweli yan huwa ni changamoto, ye mwenyewe tukimchambua hapa hajakamilika kabisaaa kazungua huyo demu na siwez kumtetea hata siku moja.
 
Eti shilole ni judge? Hivi mnategemea kuwa na msanii maarufu ambaye atatoka bss
Hili shindano la kiseee kweli ndo maana nay wa mitego ashawahigi kuwachana
 
I

Inaonekana we ndo SHILOLE mwenyewe au chawa wake, maana unamtetea sana. Yule ni mwanamke mwenzie, afu pale mbele panahitaji ujasiri ili uweze ku-perform vizuri utapafom vipi kwa ujasiri ikiwa ushadharirishwa? Acha kutetea upumbavu. Kuna wengine kunuka kikwapa ni ugonjwa unaowasumbua na sio uchafu. Narudia ACHA UPUMBAVU.
Shilole huyo mkuu huoni avatar ya ubonge hapo🤣🤣
 
Tukumbuke kipindi cha BIBI BOMBA kilifutwa kwa sababu za udhalllishaji wa akina mama. Tunakuomba waziri @dk gwajima uingilie kati huu udhalilishaji.

Ndio maana Konde aliwaimba kwenye nyimbo ya Jeshi " three love kwa Masta na Rita"
Haitoshi akawaimba Masta J na Hasheem Thabit kwenye Never give up, alisema "japo Kuna waliosema kuwa Sina Kipaji '"
 
Hii tabia ya media za bongo kuokoteza watu wasio hata na weledi wa mziki. Badala ya kutumia wasomi unaenda kuchukua wahuni na madanga maarufu
IMG-20231105-WA0067.jpg
 
Tukumbuke kipindi cha BIBI BOMBA kilifutwa kwa sababu za udhalllishaji wa akina mama. Tunakuomba waziri @dk gwajima uingilie kati huu udhalilishaji.

Punguzeni hizo tatizo mnashupalia Jambo tu bila kua na uthibitisho yes that's like defamation lakini je yeye mwenyewe alikua pale alireact vipi,

Mimi nishahudhulia interview kadhaa na nikala za uso na kuumbuliwa juu km ingekua ni hivi wanachuo wanaofanya presentation wangekua wanafeli vibaya au kuacha kabisa chuo I mean practical presentation sio theory maana kuna kuumbuliwa balaa km kitu hujui wana attack hadi personal issues like we kabila gani umepiga mswaki leo mboni hujachomekea n some sort like that Ila mtu mwisho wa siku unasahau na kujifunza unaendelea na Mambo mengine it's part of life, kikubwa kubari kukosolewa ili ujifunze na ujue jinsi ya kujirekebisha Ila watu wanajua kutetea ujinga sana,

Mimi sioni kosa lolote nyinyi ndio wale mliokomaza kucha na vichwa kusema kwamba wale walimu wakuu waliocheza wimbo wa Zuchu na wanafunzi kule kusini wafukuzwe kazi sio kushushwa vyeo tu hamfikirii nje ya box
 
Hiki kipindi kadri siku zinavyozidi kwenda kinazidi kuwa cha kidhalilishaji.

Ma judge wamekuwa na tabia za kuattack utu wa watu kuliko hata kuangalia vipaji wanavyopaswa kuangalia.

Shilole alikuwa mchafu mpaka miaka ya hivi karibuni tu baada ya kushika vijipesa sasa ghafla kawa msafi mno kiasi cha kumdhalilisha mwanamke mwenzie kuwa ananuka kwapa kwenye national tv?

Dada wa watu mpaka kakosa pozi na kumuomba Shilole aache kumdhalilisha lakini bado linaendelea kubwatuka tu. Shilole ana kipaji gani kwanza mpaka afanywe kuwa judge?

Kwanini wasikae chini wakaangalia kina Simon Cowell kama huwa wanadhalilisha washiriki kwa umaskini wao?

Salama na Master J wanaamini kudhalilisha washiriki ndio kuwa judge bora.

Acheni huu udhalilishaji
Mheshimiwa Dkt. Gwajima D Pita apa pia
 
Punguzeni hizo tatizo mnashupalia Jambo tu bila kua na uthibitisho yes that's like defamation lakini je yeye mwenyewe alikua pale alireact vipi,

Mimi nishahudhulia interview kadhaa na nikala za uso na kuumbuliwa juu km ingekua ni hivi wanachuo wanaofanya presentation wangekua wanafeli vibaya au kuacha kabisa chuo I mean practical presentation sio theory maana kuna kuumbuliwa balaa km kitu hujui wana attack hadi personal issues like we kabila gani umepiga mswaki leo mboni hujachomekea n some sort like that Ila mtu mwisho wa siku unasahau na kujifunza unaendelea na Mambo mengine it's part of life, kikubwa kubari kukosolewa ili ujifunze na ujue jinsi ya kujirekebisha Ila watu wanajua kutetea ujinga sana,

Mimi sioni kosa lolote nyinyi ndio wale mliokomaza kucha na vichwa kusema kwamba wale walimu wakuu waliocheza wimbo wa Zuchu na wanafunzi kule kusini wafukuzwe kazi sio kushushwa vyeo tu hamfikirii nje ya box
Wewe hoja yako ni ipi mkuu? Eleza kwa ufasaha.
 
Itakua Interview ya U- Barmed!!!!
 
Back
Top Bottom