Bongo Star Search hiki mnachofanya ni udhalilishaji

Swali la Msingi, Je Shilole anastahili kuwa judge?

Ana vigezo gani vya kuwa judge?

Majudge wengi wa Tanzania katika music ni wa hovyo tu...sijui hata wanakuaje majaji
Mkuu inashangaza maana hata kuimba hajui nyimbo alikuwa anaandikiwa na yule Nuhu
 
mara nyingi watu kama hawa huwa ni kuwapuuza tu sababu akili yake imefikili na kaona sahihi kutamka neno hilo eti anampoza kwa kielfu kumi mpsiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii


Political is just liKe a war always, BOOST YOUR CONFIDENCE
 
Japokuuwa kipindi ni Cha kipigaji, basi inabidi wawe na staha.

Shishi anatumia drugs, SEMA watu hawajui Tu
 
Rita anatafuta mashoga zake ambao atawapa hela kidogo basi.Huyo msimbe anawapotezea muda bure vijana
 
Jibu Ndio anastahiri kwa sababu vigezo na masharti yamezingatiwa ndio maana wakampa ujaji

Uliza swali jingine
Wamezingatia vigezo vipi? Hebu weka Vigezo na Masharti ya Shilole kuwa Judge
 
Kuna point za msingi umezungumza

Hawa sio Judges, hawana sifa hizo

Waliacha kusikiliza tones za muziki, kupanda na kushuka kwa sauti pamoja na pumzi ya Muimbaji, sasa Wamehamia kwenye kumjudge Muimbaji kwa jinsi alivyo

Huu ni Ujinga wala sio Ujaji

Kuna Bwana mmoja anaitwa Innocent Nganyangwa...yule ana sifa za kuwa Judge haswa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…