Bongo Star Search hiki mnachofanya ni udhalilishaji

Ebwana hakuna ambae hana jasho hata wewe km kinatema unaambiwa tu hata mbele ya Camera next time utajirekebisha it doesn't matter umeambiwa wapi, sijaona kosa hapo kitu kidogo mnakikuza sana
 
Istoshe Shilole mwenyewe anaweza kuwa ananuka viungo vya mwilini mwake ila Watu waliyepita naye walimstiri tu kibishibishi ilimradi mwanaharamu apite [emoji35]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Ebwana hakuna ambae hana jasho hata wewe km kinatema unaambiwa tu hata mbele ya Camera next time utajirekebisha it doesn't matter umeambiwa wapi, sijaona kosa hapo kitu kidogo mnakikuza sana
Kuna kitu kinaitwa staha, ipo njia ya kumwambia bila kuathiri utu ama heshima yake.

Ingemgharimu kiasi gani huyo Shilole kumwambia yule dada off camera??
 
Kuna kitu kinaitwa staha, ipo njia ya kumwambia bila kuathiri utu ama heshima yake.

Ingemgharimu kiasi gani huyo Shilole kumwambia yule dada off camera??
Hivi wewe unaweza ku-fake Jambo la kweli ukalifanya kua sio la kweli? Km wewe unaweza sio kila mtu anaweza some people's are real they ain't that fake, usifie ananukia wakati kikwapa kinanuka like seriously?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…