Bongo Zozo ana hoja kuhusu uraia pacha kwa Watanzania

Bongo Zozo ana hoja kuhusu uraia pacha kwa Watanzania

Ileje

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
9,524
Reaction score
13,682
Kulingana na hoja za Bongo Zozo raia wa Tanzania waliopo ughaibuni wananyimwa fursa ya kuendeleza nchi yao. Aidha Tanzania inakosa fursa ya kupata huduma kutoka kwao

Tuna Jambo la kujadili ili tupate muafaka!

View attachment 2606631
Hii ndio tunaita ukimchekea mbwa atakufuata hadi msikitini,sasa huyu mzungu uchwara kaingia hadi chumbani, yeye si Mtanzania inakuwaje azungumzia mambo nyeti.
 
Hii ndio tunaita ukimchekea mbwa atakufuata hadi msikitini,sasa huyu mzungu uchwara kaingia hadi chumbani, yeye si Mtanzania inakuwaje azungumzia mambo nyeti.
Ni kweli si Mtanzania lakini ameoa Mtanzania na watoto wake wamezaliwa Tanzania, hivyo yuko njia panda watoto wachukue uraia wa Tanzania au la baada ya kutimiza miaka 18.
 
Uraia pacha hapana hapana aendelee na Maisha yake alijua hilo mapema kabla hajanyanduana na mkewe
 
Urai pacha ni muhimu kwa maendeleo ya taifa, kwani kuna watanzania kibao wapo nje wanatamani kuleta uwekezaji Tanzania wanashindwa kwa sababu ya gharama za kuja kama wawekezaji bado masuala ya ununuzi wa ardhi
 
Back
Top Bottom