Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kulingana na hoja za Bongo Zozo raia wa Tanzania waliopo ughaibuni wananyimwa fursa ya kuendeleza nchi yao. Aidha Tanzania inakosa fursa ya kupata huduma kutoka kwao
Tuna Jambo la kujadili ili tupate muafaka!
View attachment 2606631
Unawaza Watanzania waliopo ughaibuni wanaotamani kuwa watanzania na wamarekani lakini huwazi warundi na wabembe wanaotamani hata Leo Uraia pacha uruhusiwe wajazane Kigoma au Wamakonde waliopo Mozambique wanaotamani kuvamia Mtwara kwa kigezo cha Uraia pachaUraia pacha hauna madhara yoyote.
fursa ya Wanyonge wa Nchi hizo kumiliki Ardhi ipo sawa na hapa kwetu ?Hivi ina maana kenya, ghana, bostwana, uk na spain hawaoni hayo madhara ya uraia pacha? Mpaka wakaruhusu?
Tanzania ardhi imejaa tele hta hao diaspora wakija hawawezi kuimaliza sana sana watawekeza kwenye prime areas pekee yakefursa ya Wanyonge wa Nchi hizo kumiliki Ardhi ipo sawa na hapa kwetu ?