MoseKing
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 4,928
- 8,976
Ukiachana na Rais mwnyewe, nchi hii Hakuna mtu huru.Daah hawa viongoz ni shidaa una muweka mtu kwenye Cage amekua ndege?
Hata wabunge wa CCM hawana Uhuru na amani.
Ukitaka kuongea ukweli bungeni, tayari Kuna speaker wa mchongo atakudili hata kukufukuza, ingawa kwa utaratibu speaker alipaswa kuchaguliwa na wabunge na kuwa chini ya wabunge.
Kuna wakati, sheria ilitaka kubadilishwa (sijui Kama walibadili), ili mtu aweze kugombea Ubunge, urais au udiwni inabidi uwe mwanachama wa chama unachotaka kugombea kwa mwaka mmoja.
Tafsiri yake ni kuwa, MwanaCCM akikatwa ndani ya chama asihamie chama kingine akawasumbua.
Uoga uliozidi kiwango.
Hata suala la kukataa KURUHUSU MGOMBEA BINAFSI, ni uoga.
Kwasababu wanaona watashindwa kudhibiti watu.