Bongo Zozo ana hoja kuhusu uraia pacha kwa Watanzania

Madhara ni ardhi yote nzuri watachukua wageni na tunaweza kuja kutawaliwa na mamluki nusu mtz nusu muingereza, hatufungulii mlango mabeberu
Nani ana uraia kamili watanzania wengi.
Nusu mtanzania nusu mkenya.
Wamasai wacchag wajaluo wakulya.wambulu wadigo wanyaturu Warangi.nk
Nusu mtanzania nusu mganda .
Wahaya wazinza wasukuma.wanyamwezi watusi.nk
Nusu mtanzania nusu mrundi.
Waha wahangaza wasubi.nk
Nusu mtanzania nusu mkono.
Wafipa wakonongo wamanyema.nk
Nusu mtanzania nusu mzambia wanyakyusa .nk
Nusu mtanzania nusu mnyasa.
Wandali wamanda .nk
Nusu mtanzania nusu mzuru. South Africa.
Wahehe wangoni.nk
Nusu mtanzania nusu msumbiji.
Wayao wamakua wamatengo wamalaba wamatumbi wamakonde.nk
Nusu mtanzania nusu muarabu .
Washirazi wazigua wakojani nk.
Ni makabila machache Sana Yana uharisia wa hiki kipande cha ardhi kinacho itwa Tanzania.
Wengi wa kuja kuna kiongozi mashuhuri aliwai kusema tukifatiliana hakuna atakaye Baki hapa Sisi wote wa kuja
 
Kuepusha balaa ndo tunamtqka mtu achague moja, sio kutaka kotekote.... ngumu kutumikia mabwana wawili maana utamchukia huyu na kumpenda yule
 
Faida ni nini!?
Huoni kila siku tunabembeleza wawekezaji wakubwa kuja kuwekeza Kwa kua wanamitaji mikubwa ndiyo maana wamakua na masharti kibao yenye kutaka kunyonya.
Lakini diaspora Wana mitajiyao midogo lakini masharti kwao yanakua magumu kwakua hawana uraia Pacha hawawezi kumiliki ardhi ya kuanzisha mladi hata mdogo.
Wanao uwezo wa kuleta vimashine vichache Kwa kuanzisha miladi mbalimbali km kilimo na mawanda yake.
Huko wamekwenda kusaka mitaji Tu tusiwaogope natena tusiwanyanyapae
 
Mbona wao watoto wao wana mapaspoti ya ughaibuni?
Tena siku nyingi wajukuu na watoto wa maraisi wa Tanzania wanapasport za nchi nyingine lakini hawaulizi hilo wanawanyima walalahoi walioenda ulaya kutafuta maisha kusadia familia zao bongo huo ni ubaguzi mkumbwa tuanze na msimamo wa kutaka nchi zote duniani watuambie ni Watanzania wangapi wana urai pacha kila kitu kiwekwe wazi tuumbuane
 
Taifa limefanywa la kimatabaka tabaka la watawala linalokula matunda na tabaka la watumwa watawaliwa.
 
Sio rahisi kuelewa hoja ya Bongo-zozo kuhusu uraia pacha kama kwenye taasisi zinazofanya maamuzi na hasa wenye mamlaka hawana unasaba na watu wa mataifa mengine. Wale wenye wenza na familia mchanganyiko na walioko kwenye taasisi zenye mamlaka ya kufanya maamuzi wanaelewa fika kuwa faida za uraia pacha ni nyingi sana kwa ustawi wa nchi kuliko hasara zake zinazotajwa sana za kiusalama.

Diaspora Tanzania bado ni wachache sana kuweza kushawishi mabadiliko yatakayowezesha kuwepo kwa uraia pacha. Wananchi wengi hawana mazoea ya kuchangamana na wageni na hivyo wengi wana hisia hasi kuhusu uraia pacha na kwa wingi wao, ikipigwa kura ya maamuzi wataipiga chini hoja hii ya uraia pacha. Wana diaspora wanapaswa kuingia kwa wingi kwenye vyombo vya maamuzi ili kuanzisha majadiliano yatakayoshawishi mabaddiliko.

Hii itachukua miaka kadhaa ya kufanya kazi bila kuchoka.
 
Nani ana uraia kamili watanzania wengi.
Nusu mtanzania nusu mkenya.
Wamasai wacchag wajaluo wakulya.wambulu wadigo wanyaturu Warangi.nk
Nusu mtanzania nusu mganda .
Wahaya wazinza wasukuma.wanyamwezi watusi.nk
Nusu mtanzania nusu mrundi.
Waha wahangaza wasubi.nk
Nusu mtanzania nusu mkono.
Wafipa wakonongo wamanyema.nk
Nusu mtanzania nusu mzambia wanyakyusa .nk
Nusu mtanzania nusu mnyasa.
Wandali wamanda .nk
Nusu mtanzania nusu mzuru. South Africa.
Wahehe wangoni.nk
Nusu mtanzania nusu msumbiji.
Wayao wamakua wamatengo wamalaba wamatumbi wamakonde.nk
Nusu mtanzania nusu muarabu .
Washirazi wazigua wakojani nk.
Ni makabila machache Sana Yana uharisia wa hiki kipande cha ardhi kinacho itwa Tanzania.
Wengi wa kuja kuna kiongozi mashuhuri aliwai kusema tukifatiliana hakuna atakaye Baki hapa Sisi wote wa kuja
Haswaaa !! Na huo ndio Ukweli mchungu !!
 
Sio rahisi kuelewa hoja ya Bongo-zozo kuhusu uraia pacha kama kwenye taasisi zinazofanya maamuzi na hasa wenye mamlaka hawana unasaba na watu wa mataifa mengine. Wale wenye wenza na familia mchanganyiko na walioko kwenye taasisi zenye mamlaka ya kufanya maamuzi wanaelewa fika kuwa faida za uraia pacha ni nyingi sana kwa ustawi wa nchi kuliko hasara zake zinazotajwa sana za kiusalama.

Diaspora Tanzania bado ni wachache sana kuweza kushawishi mabadiliko yatakayowezesha kuwepo kwa uraia pacha. Wananchi wengi hawana mazoea ya kuchangamana na wageni na hivyo wengi wana hisia hasi kuhusu uraia pacha na kwa wingi wao, ikipigwa kura ya maamuzi wataipiga chini hoja hii ya uraia pacha. Wana diaspora wanapaswa kuingia kwa wingi kwenye vyombo vya maamuzi ili kuanzisha majadiliano yatakayoshawishi mabaddiliko.

Hii itachukua miaka kadhaa ya kufanya kazi bila kuchoka.
Kwani maamuzi mengine yanayohusu sheria za uhamiaji huwa wanaulizwa wananchi wote wa Tanzania watoe maoni yao ili iwe sheria ??!! Nchi nyingi zilizotuzunguka zina Uraia pacha kasoro sisi tu ! Ndio maana hata muandamo wa mwezi karibu Nchi zote husherehekea Idi siku moja kasoro sisi huwa tunasherehekea siku inayofuata 😅😅😅 !! Salaaleeeh !!
 
Uwepo wa viongozi wazee wengi serikalini unachangia kupuuzia hii hoja.Rais teua vijana mazee hayo yana mawazo mufilisi hayajui hata tiktok wala instagram hayapo modern
Wasira yupo wap saiv?
Yule ndiyo kikwazo
 
Jamaa nmemuelewa, uraia pacha usiwe kwa watu wa nje lakini uwe ni kwa ajili ya haya makundi mawili ya watanzania

1)Watoto walozaliwa na wazazi ambapo mzazi mmojawapo ni mtanzania

2)Watanzania ambao wapo nje (ughaibuni) waruhusiwe kuwa raia wa hizo nchi pamoja na kuwa bado watanzania.

Hio itazuia hofu iliopo kwamba mwekezaji wa nje ataomba uraia wa tz then aje abebe rasilimali za wazawa kwa sababu haki ya uraia pacha wanapewa wazawa tu.

Bongo zozo kwa hili ana point nzuri sana kiukweli.
Bongo zozo mke wake ni mtanzania, umemuelewa vizuri sana na hoja yake hii ingeweza kutoka kwenye kinywa cha mke wake ambaye ndie anayeguswa zaidi pamoja na watoto. Tukumbuke kuwa siku hizi kwa sheria zetu za uhamiaji mtoto anaweza kurithi uraia kupitia kwa mama.
 
Wamesha sema Wana mpango wa kuwapa hadhi Maalum.

Tafsiri yake ni kuwaweka kwenye CAGE ili wawe na uwezo wa kuwadhibiti au kuwavua hiyo hadhi wakikataa mambo yao
Daah hawa viongoz ni shidaa una muweka mtu kwenye Cage amekua ndege?
 
Jamaa nmemuelewa, uraia pacha usiwe kwa watu wa nje lakini uwe ni kwa ajili ya haya makundi mawili ya watanzania

1)Watoto walozaliwa na wazazi ambapo mzazi mmojawapo ni mtanzania

2)Watanzania ambao wapo nje (ughaibuni) waruhusiwe kuwa raia wa hizo nchi pamoja na kuwa bado watanzania.

Hio itazuia hofu iliopo kwamba mwekezaji wa nje ataomba uraia wa tz then aje abebe rasilimali za wazawa kwa sababu haki ya uraia pacha wanapewa wazawa tu.

Bongo zozo kwa hili ana point nzuri sana kiukweli.
Kuna kitu wanajadiliwa kuhusu uraia pacha, wanakiita "Special status"... Nadhani hiyo special status pamoja na faida zake ingewahusu wageni waliooa au kuolewa na mtanzania. Kwa mtanzania aliyepata upenyo wa kuchukua uraia wa nchi nyingine, aruhusiwe kuwa na uraia pacha ni haki yake yeye na uzao wake.
 
Madhara ni ardhi yote nzuri watachukua wageni na tunaweza kuja kutawaliwa na mamluki nusu mtz nusu muingereza, hatufungulii mlango mabeberu
Hadi sasa tunatawaliwa tu, kilichobadilika ni kuondoka kwa wakoloni lakini muundo wa uendeshashi Serikali yetu, sheria na mamlaka havikubadilika!!.....tuna mkoloni mweusi. Ardhi si ni mali ya Serikali chini ya uangalizi wa mtu mmoja anaeitwa Rais?.
 
Sio rahisi kuelewa hoja ya Bongo-zozo kuhusu uraia pacha kama kwenye taasisi zinazofanya maamuzi na hasa wenye mamlaka hawana unasaba na watu wa mataifa mengine. Wale wenye wenza na familia mchanganyiko na walioko kwenye taasisi zenye mamlaka ya kufanya maamuzi wanaelewa fika kuwa faida za uraia pacha ni nyingi sana kwa ustawi wa nchi kuliko hasara zake zinazotajwa sana za kiusalama.

Diaspora Tanzania bado ni wachache sana kuweza kushawishi mabadiliko yatakayowezesha kuwepo kwa uraia pacha. Wananchi wengi hawana mazoea ya kuchangamana na wageni na hivyo wengi wana hisia hasi kuhusu uraia pacha na kwa wingi wao, ikipigwa kura ya maamuzi wataipiga chini hoja hii ya uraia pacha. Wana diaspora wanapaswa kuingia kwa wingi kwenye vyombo vya maamuzi ili kuanzisha majadiliano yatakayoshawishi mabaddiliko.

Hii itachukua miaka kadhaa ya kufanya kazi bila kuchoka.
Waende mahakama ya umoja wa mataifa ya haki za binadamu Geneva waweke maandamano kamili watasikilizwa na dunia na haki itapatikana
 
Back
Top Bottom