Boniface Jackob akataa kutoa Maelezo Polisi, asema atayatoa Mahakamani


Apelekwe Mahakamani.
Sio kuuawa na Wageni wasiojulikana. Kuna watu kwa sasa ndani ya vyombo vya dola na serikali wanafanya kazi kwa mihemko na hasira na chuki za kisiasa na kaudini dini ndani lakini na kamwe hawataki kufuata sheria wala Katiba ya nchi.
Kijitabu tu.
Lakini ukisema biblia au Kuran ni kijitabu tu pataibuka mgogoro na taharuki kubwa sana na vurugu .
 
Leo Alhamisi, mahakamani lini
 
Hivi unaweza kukuta walioenda kumpekua wengi wamepanga na hawana mansion kama lile,
Nyumba unaongelea jambo kubwa sana kwa polisi. Hata mikanda na viatu walivyovaa vimechakaa mno (ngozi iliyotumika kutengeneza imefikia expiry date).

Na polisi wengi wake zao ni mama wa nyumbani. They are leading hopeless life.
 
kwamba hiyo kiburi ndio anaona ni ya maana sana,

hata iwe namna gani, korokoroni atalala, na mahakani atakwenda vile vile bila mbambamba yoyote πŸ’
 
unadhani ni mara yake ya kwanza kulala mahabusu wewe ndio unaona ajabu
hakuna habari ya kudhani katika masuala ya kiusalama..

ikiwa wewe ni suspect of crime, utakamatwa na utakwenda korokoroni bila kujali ni mara ya yako ya 30 au 40 kulala kororoni...

hiyo lazima ieleweke hivyo gentleman πŸ’
 
Mwamba yupo vizuri sn
 
Hawa ni hatari sn
 
Nani atawalisha kuku?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…