Boniface Jackob akataa kutoa Maelezo Polisi, asema atayatoa Mahakamani

Safi sana , wakutane mahakamani atatoa maelezo vizuri.
Ana haki zake pia hata kama wamemtuhumu. The good thing ni kwamba sakata lake linamulikwa na macho mapana na lazima Haki itendeke. Nilitamani nione Police wakielekeza nguvu na resources zao zote katika kutafuta wauaji na watekaji, ambalo ndilo suala linaloigombanisha na Serikali. Kutunishaniana misuli na raia wema na wapinzani wako wa Kisiasa, haina maana yoyote
 
Boni yai atakua yai kweli kweli,bado tar 23 kuna wengine wataungana.
Bora hata Mnyika anaogopa hadi Panya.
Mnyika sina ujakika hata kama JKT alipitia angalau hata mwezi mmoja. Bora ya akina Mdee, Esther na akina Zitto , wao baada ya kuwa walikosa hiyo fursa wakati wakitoka mashuleni, wao baada ya kuwa Wabunge waliomba kwenda Ruvu JKT kupiga kwata la miezi mitatu. Ndo huo ushupavu wa dada majembe tunaouona mpaka leo kwa hawa vijana. Mnyika should have done the same kama alikosa hiyo fursa, au hata angecheza Mgambo akawa MG . Uuoga wa hadi Panya kama alivyodhihakiwa ni too much kwa kijana na kiongozi wa vuguvugu la mabadiliko kama yeye. Kule kuna shughuli pevu ati.
 
hakuna habari ya kudhani katika masuala ya kiusalama..

ikiwa wewe ni suspect of crime, utakamatwa na utakwenda korokoroni bila kujali ni mara ya yako ya 30 au 40 kulala kororoni...

hiyo lazima ieleweke hivyo gentleman 🐒
Unacho hangaika ni nini sasa kakamatwa mind your business
 
Jkt imekusaidia nini kumzidi Mnyika asiyepitia jkt
 
Nilichogundua ni kwamba kazi za ULINZI (POLISI,NA MAJESHI MENGINE) hazina tofauti na kazi za MBWA.
Yaani ni za kipuuzi kabisa.
Nilifuatilia kisa cha kuuawa yule mchimba madini wa LINDI mikononi mwa POLISI kule MTWARA nilitamani hii kazi ifutwe kwenye katiba yetu.

Yaani eti kabla ya yule POLISI aliyemuua yule mchimbaji KUNYONGWA NA WAKUBWA ZAKE eti aliwasiliana na BABA YAKE akimuelezea kuwa alitenda kwa AMRI ZA WAKUBWA ZAKE.

WAKUBWA walivyoona kuwa atawachoma zaidi wakaona na yeye wamtangulize Jerusalem kupunguza ukali wa kesi.
 
Mwenye kuku kaingia bandani na sasa anachinja chinja hovyo kuku wake.

Kajifitini mwenyewe na sasa anahaha kukamata kamata watu hovyo
 
Huku kunaitwa kujitambua
 
Why does one country peacefully transition out of authoritarian rule while another falls into violent conflict, and what can the UN do to influence pathways away from violence?
 
Wazee wa PGO sijui wamerogwa yaani uje univamie unikamate nikiwa sijui kosa langu alafu eti unitake niandike maelezo.
 
Hivi unaweza kukuta walioenda kumpekua wengi wamepanga na hawana mansion kama lile,
Hapo sasa Chadema wale wajinga wapenda kuandamana kishari pesa hawana wajifunze

Mwenzao Boni yai akifanya vurugu pesa inaingia kutoka ajuako mwenyewe anashusha mjengo wa uhakika wakati wengine wanaishia tu kutwangwa virungu ns polisi na kwenda kuuguza majeraha ya kwa gharama zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…