Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #81
Unaambiwa ilikuwa kazi, vyumba vinafunguliwa kwa password!View attachment 3100261
Imagine umepanga room moja mburahati au ruhanga halafu unaenda kumpekua boni anayeishi humo ndani
Having mudaAtarithi vyote awe makini...alikoishia mwenzake aliyejifanya staa sasa hiv kabakia mifupa tupu dadeq
Muhalifu hata kama anaishi 5 [emoji93] hotel bado atapekuliwa na kachero hata anae lipa pango la nyumba kama mpangaji!!View attachment 3100261
Imagine umepanga room moja mburahati au ruhanga halafu unaenda kumpekua boni anayeishi humo ndani
Tajiri unaielezea nyumba ya tajiri mwenzako kwa ghamu kubwa 🤣Unaambiwa ilikuwa kazi, vyumba vinafunguliwa kwa password!
🤣Muhalifu hata kama anaishi 5 [emoji93] hotel bado atapekuliwa na kachero hata anae lipa pango la nyumba kama mpangaji!!
Acha utani, polisi wengi wenye vyeo hela zinawafuata kwenye magunia. Wana hela kinomaHakuna polisi mwenye nyumba kama ile, kuanzia IGP hadi konstebo.
Alaaa kumbe za MABEBERU ee?!!Ni sawa yeye akiandamana au kuanzisha vurugu analipwa na mabeberu pesa za kujenga
Je waandamaji wenu hao mbaowapeleka kichwa kichwa wanaoishia kubondwa tu virungu na polisi wana mjengo kama huo wa Boni yai?
Hivi unaweza kukuta walioenda kumpekua wengi wamepanga na hawana mansion kama lile
🤣Acha utani, polisi wengi wenye vyeo hela zinawafuata kwenye magunia. Wana hela kinoma
Ya mahabusu ni kama hospitali kila mtu anaweza kwenda , na tusipaogope walioko huko ni binadam pia ,ametoa jibu zuri.Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Meya wa Zamani wa Ubungo na Kinondoni, Mwamba Kabisa, Boni Yai, amehitimisha sekeseke la kukamatwa kwake kinyama pale Hotelini, kwa kukataa kutoa maelezo Polisi na kuahidi kikakamavu kwamba, Maelezo hayo atayatolea Mahakamani, siku yoyote atakayopelekwa.
Hivyo ndivyo ilivyokuwa na ndivyo itakavyokuwa.
Soma Pia
- Boniface Jacob adaiwa kukamatwa na watu waliokuja na gari aina ya defender. Kamanda Kitwinkwi asema hana taarifa hizo
- Jeshi la Polisi: Tumemkamata Boniface Jacob kwa makosa ya Jinai anayotuhumiwa nayo
Mkuu wangu unamaanisha nini juu ya hizo siku 47?Ya mahabusu ni kama hospitali kila mtu anaweza kwenda , na tusipaogope walioko huko ni binadam pia ,ametoa jibu zuri.
(
Siku mkiamua nipeleka mahakamani nitatolea majibu yangu huko)
Ndugu zangu ni vyema toa maelezo yako mahakamani kuliko toa police , naunga mkono.
Note :hii njia ya machawa wachache na majinga ambayo yapo kumuadaa rais , ili kuwa karibu au kujipendekeza ili kulinda matumbo yao , nawambieni nchi inaelekea kwenye mtetemo mkubwa ,Bwana ananiambia siku zangu 47 bado kuisha ,mtashangaa
Pia you can think this way if your brain functions properly. Mbona jamaa ana biashara na mali za kutosha lakini bado anahatarisha maisha yake kwa ajili ya wengi. Kwanini asitulie tu na familia yake wakaenjoy maisha.Hapo sasa Chadema wale wajinga wapenda kuandamana kishari pesa hawana wajifunze
Mwenzao Boni yai akifanya vurugu pesa inaingia kutoka ajuako mwenyewe anashusha mjengo wa uhakika wakati wengine wanaishia tu kutwangwa virungu ns polisi na kwenda kuuguza majeraha ya kwa gharama zao
Sijasema hawana hela, hawana Jumba kama la Bonny, Mtu Mshamba hata akiwa na hela nyumba yake ni Mgongo wa tembo, vyumba 20 choo kimoja cha shimoAcha utani, polisi wengi wenye vyeo hela zinawafuata kwenye magunia. Wana hela kinoma
Usimuamshe aliye lala, hao ndiyo wale waliozani zile nyumba alizotaka nunua Dr Shika kwenye mnada ni za Lugumi kweli!!Acha utani, polisi wengi wenye vyeo hela zinawafuata kwenye magunia. Wana hela kinoma
Source ya mapato yake kapatia kwenye siasa za upinzani za shariPia you can think this way if your brain functions properly. Mbona jamaa ana biashara na mali za kutosha lakini bado anahatarisha maisha yake kwa ajili ya wengi. Kwanini asitulie tu na familia yake wakaenjoy maisha.
Remember, only if your brain functions properly.
Ndo anayetuteka na kutuuwa?kwamba hiyo kiburi ndio anaona ni ya maana sana,
hata iwe namna gani, korokoroni atalala, na mahakani atakwenda vile vile bila mbambamba yoyote 🐒
uwezekano huo upo, vuta subra, wacha uchaguzi ukamilike 🐒Ndo anayetuteka na kutuuwa?
- Ahsante bagamoyo , Hii post yako inakidhi kuwa ni threed inayojitegemea. Report imebeba mambo mengi muhimu na ya msingi sana. Kwa kuzingatia wengi wetu huwa hatuna muda wa kusoma report kama hii, Nimeweka threed yake hapa kwa njia ya Audio/ visual
- Thread yake hii hapa:
When Dictators Ragequit: UN's Authoritarian Endgame Playbook