DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Hakukuwa na kituo pale cha PC jaribu kufatiliaButimba TTC
Kuna wakati mama Gaudensia Kabaka Mwenyekiti mstaafu wa UWT alikuwa mkuu wa Chuo pale
Private Candidate hufanya Mitihani popote pale usiteseke sana Boniyai 😂
Matokeo yatasoma GANGILONGA CENTREWewe ukifanya mtihani hapo Gangilonga kama Private candidate matokeo yakitoka utaandikiwa umesoma Gangilonga Secondary school?
Ndiyo kadanganya, anatakiwa kuthibitisha uhalaliKwani nape kadanganya?
Kituo kikaitwa Secondary school?Je kama kilikuwa kituo Cha private candidates?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mnawachokoza wenyewe halafu wakiwabana mnaanza "Bring Back" zenu!Bring Back Ben Saanane
Wewe upo ktk karakana ya ibilisi ambayo sabaya alisema anawafahamu wanaofanya kazi humo? Inaondkana unafurahia wenzako wakiuwawaMnawachokoza wenyewe halafu wakiwabana mnaanza "Bring Back" zenu!
Bumunda ana elimu ya hapa na pale tu kama mzee wa shanga KubeneaNAPE KALIDANGANYA BUNGE KUHUSU ELIMU YAKE.
Katika kufanya Utafiti wangu kuhusu mapitio (background) ya elimu ya Waziri wa Habari,Mawasiliano na Teknolojia ya habari Bw.Nape Moses Nnauye
Nimeshtuka kuona Bunge linatangaza Waziri Nape Moses Nnauye amepata Elimu ya ADVANCED CERTIFICATE OF SECONDARY SCHOOL katika shule ya BUTIMBA TCC mwaka 1998 hadi mwaka 2000.
Nimelazimika kuwatafuta Walimu wenzangu waliosoma na kufanya kazi BUTIMBA TCC (Butimba teacher's college).
Wameshangaa na kushtushwa na taarifa ya Bunge inayohusu elimu ya Waziri Nape Moses Nnauye.
Ukweli ni kwamba BUTIMBA TCC haijawahi kuwa na shule ya Sekondari mwaka 1998 wala katika tovuti ya Baraza la Mitihani Tanzania alijawahi kusajili Shule ya Sekondari na kuipa mitihani mwaka 1998 hadi 2000 kwa Jina la "BUTIMBA TCC SECONDARY SCHOOL"
BUTIMBA TCC (Butimba teacher's college) ilianzishwa mwaka 1939 na wakoloni na Kujengwa shule ya msingi ya mazoezi (Teaching Practice) na wakoloni wenyewe kwa ajili ya mafunzo kwa Vitendo kwa Wanafunzi wa Ualimu.
Hata hivyo 28 January 2000 serikali ilianzisha shule mpya ya sekondari (Kutwa) ya BUTIMBA SEKONDARI SCHOOL (BUTIMBA DAY) ambayo kidacho cha Kwanza waliingia mwaka 2000 na Kumaliza mwaka 2003 kidato cha nne.
Ambapo kwa mujibu wa tovuti ya Bunge Nape alikuwa ameshamaliza kidato cha 6 Mwaka 2000 latika Shule ya Sekondari ya BUTIMBA TCC.
Lakini kubwa zaidi inaonyesha Nape Moses Nnauye hakusoma BUTIMBA TCC elimu ya kidato cha kwanza hadi cha nne bali alisoma kidato cha tano na cha sita katika Shule ambayo haipo wala haijawahi kuwepo.
Pichani ni tovuti ya Bunge kuhusu elimu ya Nape Moses Nnauye,Picha ya Pili ni kuhusu usajili wa Sekondari wa Butimba Day mwaka 2000.
Naomba kuwasilisha.
NAMALIZIA UTAFITI kuhusu Shahada ya Sheria pale OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA anayosoma Nape Moses Nnauye.
Imewezekanaje mwanafunzi aliyekosa qualificayion za Direct Entry za
1."Principal mbili" za ADVANCED CERTIFICATE OF SECONDARY SCHOOL ..?
2. Credit mbili za O-level ( History na English language Kusoma Sheria kinyume na Kanuni za TCU..?
3. au Mwanafunzi aliyekosa Equivalent qualifications za Diploma yenye G.P.A yenye 3.0 and above anawezaje kujiunga na Shahada ya sheria..?
Au mtafuta kuwapa lawama LAW SCHOOL OF TANZANIA..,
( Kaka ana madiploma Mengiiiiiiiii lakini hayana uzito)
4. au Bachelor degree kutoka Chuo kinachotambulika na TCU...? Siyo kama BANGALORE UNIVERSITY YA INDIA [emoji23][emoji23][emoji23]
La sivyo TCU mtuambie mtu akiwa CCM au Kiongozi wa Serikali Vigezo vya Kujiunga na elimu ya Juu kwake havizingatiwi sawa na Watanzania Wengine..?
View attachment 2841228View attachment 2841229
Una maana bumunda linafanya vizuri kwenye siasa?Watu Wote wanaofanya Vizuri kwenye Siasa darasani walikuwaga mambwiga
Fanya Utafiti utagundua hilo
Chokochoko za nini sasa? Mnyika mwenyewe hakumaliza chuo. Mbona hamsemi hilo?Wewe upo ktk karakana ya ibilisi ambayo sabaya alisema anawafahamu wanaofanya kazi humo? Inaondkana unafurahia wenzako wakiuwawa
Kama hafanyi vizuri mbona mnamjadili hapa 24/7?Una maana bumunda linafanya vizuri kwenye siasa?
Ushafika Butimba ama unasimuliwa?NAPE KALIDANGANYA BUNGE KUHUSU ELIMU YAKE.
Katika kufanya Utafiti wangu kuhusu mapitio (background) ya elimu ya Waziri wa Habari,Mawasiliano na Teknolojia ya habari Bw.Nape Moses Nnauye
Nimeshtuka kuona Bunge linatangaza Waziri Nape Moses Nnauye amepata Elimu ya ADVANCED CERTIFICATE OF SECONDARY SCHOOL katika shule ya BUTIMBA TCC mwaka 1998 hadi mwaka 2000.
Nimelazimika kuwatafuta Walimu wenzangu waliosoma na kufanya kazi BUTIMBA TCC (Butimba teacher's college).
Wameshangaa na kushtushwa na taarifa ya Bunge inayohusu elimu ya Waziri Nape Moses Nnauye.
Ukweli ni kwamba BUTIMBA TCC haijawahi kuwa na shule ya Sekondari mwaka 1998 wala katika tovuti ya Baraza la Mitihani Tanzania alijawahi kusajili Shule ya Sekondari na kuipa mitihani mwaka 1998 hadi 2000 kwa Jina la "BUTIMBA TCC SECONDARY SCHOOL"
BUTIMBA TCC (Butimba teacher's college) ilianzishwa mwaka 1939 na wakoloni na Kujengwa shule ya msingi ya mazoezi (Teaching Practice) na wakoloni wenyewe kwa ajili ya mafunzo kwa Vitendo kwa Wanafunzi wa Ualimu.
Hata hivyo 28 January 2000 serikali ilianzisha shule mpya ya sekondari (Kutwa) ya BUTIMBA SEKONDARI SCHOOL (BUTIMBA DAY) ambayo kidacho cha Kwanza waliingia mwaka 2000 na Kumaliza mwaka 2003 kidato cha nne.
Ambapo kwa mujibu wa tovuti ya Bunge Nape alikuwa ameshamaliza kidato cha 6 Mwaka 2000 latika Shule ya Sekondari ya BUTIMBA TCC.
Lakini kubwa zaidi inaonyesha Nape Moses Nnauye hakusoma BUTIMBA TCC elimu ya kidato cha kwanza hadi cha nne bali alisoma kidato cha tano na cha sita katika Shule ambayo haipo wala haijawahi kuwepo.
Pichani ni tovuti ya Bunge kuhusu elimu ya Nape Moses Nnauye,Picha ya Pili ni kuhusu usajili wa Sekondari wa Butimba Day mwaka 2000.
Naomba kuwasilisha.
NAMALIZIA UTAFITI kuhusu Shahada ya Sheria pale OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA anayosoma Nape Moses Nnauye.
Imewezekanaje mwanafunzi aliyekosa qualificayion za Direct Entry za
1."Principal mbili" za ADVANCED CERTIFICATE OF SECONDARY SCHOOL ..?
2. Credit mbili za O-level ( History na English language Kusoma Sheria kinyume na Kanuni za TCU..?
3. au Mwanafunzi aliyekosa Equivalent qualifications za Diploma yenye G.P.A yenye 3.0 and above anawezaje kujiunga na Shahada ya sheria..?
Au mtafuta kuwapa lawama LAW SCHOOL OF TANZANIA..,
( Kaka ana madiploma Mengiiiiiiiii lakini hayana uzito)
4. au Bachelor degree kutoka Chuo kinachotambulika na TCU...? Siyo kama BANGALORE UNIVERSITY YA INDIA [emoji23][emoji23][emoji23]
La sivyo TCU mtuambie mtu akiwa CCM au Kiongozi wa Serikali Vigezo vya Kujiunga na elimu ya Juu kwake havizingatiwi sawa na Watanzania Wengine..?
View attachment 2841228View attachment 2841229
Eti Nape ni Waziri wa ICT,ila JK ifike mahali awe anamuogopa Mungu,kama wanawapenda sana Watoto wao basi wawafungulie Makampuni wajiajiri na siyo kutumia ofisi za serikali kama kichaka cha kuhifadhi vilaza!!NAPE KALIDANGANYA BUNGE KUHUSU ELIMU YAKE.

Alichookifanya vizuri kwenye siasa Nape ni kipi?Gori la Mkono!Watu Wote wanaofanya Vizuri kwenye Siasa darasani walikuwaga mambwiga
Fanya Utafiti utagundua hilo
Hawa wanasiasa wa CCM, ni nani anafanya vizuri katika siasa? Goli la mkono ndiko kufanya vizuri katika siasa.Watu Wote wanaofanya Vizuri kwenye Siasa darasani walikuwaga mambwiga
Fanya Utafiti utagundua hilo
Mkuu, wapo wengi tu! Hata huyu anaelalamikiwa kwenye uzi huu, anazidi kujiimarisha kwa kupata VYETI, bila kujali ni kwa njia gani!Umeanza Kuleta Mafumbo Sasa Yaani 2025 Chama Chetu Kwamba Hakina Mtu