Boniface Jacob: Bunge limedanganya kuhusu elimu ya Nape Nnauye

NAPE KALIDANGANYA BUNGE KUHUSU ELIMU YAKE.

Katika kufanya Utafiti wangu kuhusu mapitio (background) ya elimu ya Waziri wa Habari,Mawasiliano na Teknolojia ya habari Bw.Nape Moses Nnauye
Bwana Nape Moses Nnauye tunaomba UFAFANUZI kuhusu; uhalisia wa familia yako! baada ya wenye familia yao 'kukusahau' kwenye orodha ya watoto wa Brig. Gen Moses Nnauye (RIP) katika tangazo la familia la miaka 10 kumbukumbu ya mzee Nnauye. Walinukuu majina yaoβ€”Jina lako halipo Bumunda

 
Inashangaza sana. Waziri kilaza kama huyu halafu anapewa kuendesha wizara nyeti kabisa nchini.

Hii tabia ya kuwezesha wanasiasa uchwara na vilaza kama huyu kupata nafasi nyeti inasababisha vijana wasisome waone wanaweza tu kuwa machawa na wakapata madaraka makubwa kwa kuendeleza uchawa na kukumbatia ccm

Mh. Rais Samia aone hili tatizo la huyu Waziri na amtimue ili kulinda heshima ya Serikali na ubora wa Elimu yetu nchini
 
Nape na huyu mama aliyopo hapo juu wanafanana kwa 100 %
 
Saa100 anafanana na nape kwa 100%
 
Butimba TTC

Kuna wakati mama Gaudensia Kabaka Mwenyekiti mstaafu wa UWT alikuwa mkuu wa Chuo pale

Private Candidate hufanya Mitihani popote pale usiteseke sana Boniyai πŸ˜‚
Uwe unasoma vizuri na kuelewa ndugu. Butimba TCC iko registered in 2000 kwa level ya form up to form four. Wew msomi umemaliza form six mwaka 2000. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Nacheka tu.
 
Makorokocho yote ulioandika yanafutwa na hoja Moja tuu. KITUO CHA PRIVATE CANDIDATE CHUONI HAPO KILIKUWEPO MIAKA MINGI
Soma vizuri

Usajili wa TCC 2000
Level Form I up to form IV

Msomi kamaliza Form VI mwaka 2000. How?
 
Mmefanya hadi Nepi amefunga comments! na kublock watu.

Ila tatizo ni katiba kuruhusu tu mtu awe mbunge ni ambaye anajua kusoma na kuandika.

Mbona mazero brain ni mengi sana mjengoni sema Nepi anaonekana kusemwa sababu analazimisha kufit pasipo.

Kama waziri nilitarajia kwenye account ya Nepi nione issue za AI na STEM ila niliishia kuona vijembe na mipasho kama ya boss wake wa kizimkazi hadi aliponiblock.
 
Hoja ya mtoa hoja mwaka husika hiyo shule ilishasajiliwa? Kama ni Private Candidate ingesoma Butimba TC.
 
Uwe unasoma vizuri na kuelewa ndugu. Butimba TCC iko registered in 2000 kwa level ya form up to form four. Wew msomi umemaliza form six mwaka 2000. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Nacheka tu.
TTC = Tanzania Cigarettes Company
 
Nimekuwa nashangaa siku zote how he even became a Minister.Yaani ukiwa kwenye chama tawala ukihiyo unakoma!?Ni mfano mbaya sana.
 
Soma vizuri

Usajili wa TCC 2000
Level Form I up to form IV

Msomi kamaliza Form VI mwaka 2000. How?
Bunge pale madijala ndio Kuna shida ya kusajili cv za watu. Fuatilia wengi zimekosewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…