Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
uzi ushaungwa huku kwa uzi wenzake.
jf bana, hii ya kuunganisha uzi mizinguo sana.
jf bana, hii ya kuunganisha uzi mizinguo sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kina soka warudiWhat's the endgame of his campaign?
KbsaMkuu upo sahihi kabisa siku zote ubaya hulipwa kwa ubaya yaan roho aliyonayo Sativa saizi ili apate amani ya moyo ni kuona Familia ya Mafwele inateseka ili kubalance maumivu
Mm nawashangaaauzi ushaungwa huku kwa uzi wenzake.
jf bana, hii ya kuunganisha uzi mizinguo sana.
RubbishEh mbona Chadema walisema n mkuu wa mkoa wa Arusha ndie mhusika ndio maana alipelekwa Arusha, sasa huyu Mafwale ametokea wapi?
Asante sana mijitu ya humu inajifanyaga akili kubwa imagin mtu ana fikiria tu tumbo lakeKwani anaotuhumiwa kuwadhuru walikuwa na makosa gani? Na wazazi waliopokwa watoto wao waliowatunza kwa jasho la damu walimkosea nini hadi wastahili kutendwa vile?
Sasa iko hvyo atauchukuwa mxigo wa baba ake mtekaji muuajiK
Kweli mwana hatauchukua mzigo wa babaye,na baba hatauchukua mzigo wa mwanae! Mtoto anakosewa.
Pelekea nguruwe wale washibeRubbish
Mie namtaman anavyojiamini...yaan nawazaga mbaalii😉..raha sana mwanaume anayejiamini ujue...Nawaza Boni huwa anajilindaje yeye, kama naona walivyo na hamu nae
Ila nadhani miaka hiyo condom zilikuwa bado sana..Sura yake imefanana na kifo, bora baba ake angevaa condom tu.
Mafwele warudishe wakina Soka usiitakie mabaya familia yako na wauaji na watekaji Wote maana wanajulikana watawekwa wazi Wote hadharanikina soka warudi
Wewe ndio Mama yangu na utetezi wake alikua anasema km wakienda huko basi kuna Siku moja watakuja kumuua yeye mwenyewe pamoja na kwamba amewazaa maana ni suala la kupewa Amri tu "muue Mama yako" wanaua bila kuhoji wala kuulizaWatoto wangu sitaki waifanye hiii kazi usalama/polisi
Ila jamaa ana sura ya kufanana na matendo yake aisee, duuh!1. ACP Faustine Mafwele kwa mara ya kwanza amethibitishwa hadharani na kutambuliwa na Edger Edson Mwakabela (Sativa) kama afisa mwandamizi wa Jeshi la Polisi Tanzania ambaye alitoa amri ya kubebwa kwake kisha kusafirishwa kwenda Arusha na katavi kupigwa risasi ya kichwa kabla ya kunusurika kuuawa.
2. ACP Faustine Mafwele amewahi kuwa OC-CID mwaka 2011-2015 wa kituo cha Polisi Arusha na baadae akawa RCO wa Mkoa wa Arusha
Wakati wa mauaji ya wanachama wa CHADEMA maandamano ya Arusha ya 04 January 2011 alikuwa OC-CID.
Wakati huo Faustine Mafwele akiwa na cheo cha ni Mrakibu Msaidizi wa Polisi
Tarehe 05 January 2012 akiwa Mrakibu Msaidizi wa Polisi Faustine Mafwele alipigwa risasi na Jambazi Jijini Arusha kati ya majibizano ya risasi baina yake na Jeshi la Polisi,hata hivyo askari mmoja wa Jeshi la Polisi aliuawa kwa risasi na Mafwele aliendelea kutibiwa hospitali ya Seriani.
3.Amewahi kuwa Zonal Crime Officer (ZCO) wa Kanda maalum ya MKIRU yani Mkuranga, Kibiti, Rufiji.
4.katika kesi za watu wanaolalamika kwangu ndugu zao kutekwa, kupotea au kukutwa wameuwawa asilimia 90 wanamtuhumu ACP Faustine Mafwele kama mtu ambaye ndiyo mtekelezaji wa shughuli hizi mbaya.
5.ACP Faustine Mafwele amekuwa ni Afisa wa Jeshi la Polisi ambaye hana madaraka makubwa sana ila anaogopwa hadi na viongozi wake wa Jeshi la Polisi kuanzia Kanda Maalum ya Dar es saalam hadi Makao Makuu ya Polisi,Dodoma
6.Kuna hisia ambazo hazijathibitishwa kuwa ni Penetrating Officer (PE) wa Idara ya Usalama wa Taifa ambaye anafanya kazi mbili kwa pamoja kiasi cha Viongozi wa Jeshi la Polisi kumuogopa wakiamini ni Mtu ambaye kazi zake zina baraka ya Idara ya Usalama wa Taifa.
7.Baada ya Kazi Maalum ya MKIRU (Mkuranga, Kibiti Rufiji) kumalizika akiwa kama Crime zonal Officer (ZCO) alihamishiwa kwenda Kuwa RCO wa Mkoa wa Mwanza
Huko Dunia ilianza kufahamu ukatili wa ACP Faustine Mafwele baada ya 2021 Mzee William Sije kulalamika kuwa RCO Mafwele wa Mkoa wa Mwanza amemuua Mtoto wake James William Sije.
8.IGP Simmon Sirro alimuhamishia Mkoa wa Dar es Salaam kuja kuwa Zonal Crime Officer (ZCO) wa Kanda maalum ya Dar es saalam 06 April 2022 kwa kazi maalum dhidi ya Panya road na ujambazi wa kutumia Silaha.
9.Misheni na siri nyingi anazozijua ndiyo chanzo cha Viongozi wa Serikali ya CCM kumuogopa na kumlinda wakiamini anaweza kwenda kusema mambo mabaya zaidi anayoyajua.
Kupitia hoja hiyo, ACP Faustine Mafwele amelalamikiwa mara nyingi sana lakini Viongozi wizarani na serikalini wanamuogopa sana kuchukua hatua.
10. Mafwele pia anatuhumiwa na familia nyingi kama mtu ambaye ameshiriki mauaji kwa moja katika kuwapoteza ndugu wa baadhi ya familia zao
kupotea kwa
1.Mfanyabiashara Musa Mziba
2.Kupotea kwa Deo Mugasa
3.Kupotea kwa Adinani Hussein Mbezi
4.Kupotea kwa Vijana watano wa Aggrey
5.kutekwa na Kupigwa risasi kwa Edger Edson Mwakabela.
6.Faustine Mafwele na genge lake tarehe 22 August 2024 alituhumiwa na Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe kuhusika kwake ktk Kupotea kwa Kina Godwin Mlay,Deusdedith Soka na Frank Mbise
11.Katika kuonyesha jeuri na kuogopewa na wenzake ACP Faustine Mafwele amejipa ukiranja wa kuwa mwenyekiti wa Ma-RCO wa Jeshi la Polisi Tanzania tofauti na utamaduni wa Jeshi la Polisi ulio zoeleka wa Ma-RCO kuwa chini ya usimamizi wa DCI
12.Nimeona niweke kumbukumbu hizi vizuri na wasifu mfupi wa ACP Faustine Mafwele mjue kazi kubwa iliyopo mbele yetu kuhakikisha Faustine Mafwele anafikishwa mbele ya vyombo vya sheria na kujibu tuhuma zake
Bila kelele za kutosha hakuna Jambo litakalotokea kwa sababu nilizozitaja hapo juu
Boniface Jacob
Ex-Mayor Kinondoni & Ubungo
0712 239 595
The voice of the silenced MajorityView attachment 3094374
Adam na Hawa walikula lile tunda la mti wa katikati ambalo mungu aliwaonya wasile, matokeo yake mpaka leo na milele hiyo dhambi inatutesa.duh,makosa ya baba na mtoto nae anatuhumiwa!
wanazi wa siasa mko vizuri.