Ambivert88
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 3,609
- 6,388
Kifo chako cha kikatiri umeteswa ukauliwa kinyama Mtoto wako hakimuhusu?duh,makosa ya baba na mtoto nae anatuhumiwa!
wanazi wa siasa mko vizuri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kifo chako cha kikatiri umeteswa ukauliwa kinyama Mtoto wako hakimuhusu?duh,makosa ya baba na mtoto nae anatuhumiwa!
wanazi wa siasa mko vizuri.
Baba mla nyama za Watu km amebainika na Jamaa kamtambua na kumlipua acha iweHili halitaisha salama, yupo atakayeumia tu.
Fikiria kama huyo binti atapata sonona na mfadhaiko kisha akaamua kujiua, ni nani tutamlaumu?.
Mkumbuke pia Cyber bulling ni crime wajuba.
mfano wako upo nje ya hoja yangu.Kifo chako cha kikatiri umeteswa ukauliwa kinyama Mtoto wako hakimuhusu?
Baba mla nyama za Watu km kweli amemtambua ndie aliemfanyia ule unyama acha iwe, Wewe ni nani kumpinga ulikuwepo kule Katavi?Sativa anafanya makosa mengi yasiyo ya lazima ambayo yanaweza kumgharimu.
Ni moto tu kumuwashia😀Jamaa kweli kachafukwa eti fire her 😄 kwani ameajiriwa huko shuleni
Mkuu upo sahihi kabisa siku zote ubaya hulipwa kwa ubaya yaan roho aliyonayo Sativa saizi ili apate amani ya moyo ni kuona Familia ya Mafwele inateseka ili kubalance maumivuBaba mla nyama za Watu km kweli amemtambua ndie aliemfanyia ule unyama acha iwe, Wewe ni nani kumpinga ulikuwepo kule Katavi?
Kweli mwana hatauchukua mzigo wa babaye,na baba hatauchukua mzigo wa mwanae! Mtoto anakosewa.uyo binti anaingiaje hapo kwenye makosa ya baba yake?
👆Ana
Anaingia vzr sana tu bab ni mtekaji muuaji
Kwani anaotuhumiwa kuwadhuru walikuwa na makosa gani? Na wazazi waliopokwa watoto wao waliowatunza kwa jasho la damu walimkosea nini hadi wastahili kutendwa vile?Huyu mtoto ana kosa gani Sasa ?
Mwambie MamaSamia2025 kuhusu hilo haelewiMkuu upo sahihi kabisa siku zote ubaya hulipwa kwa ubaya yaan roho aliyonayo Sativa saizi ili apate amani ya moyo ni kuona Familia ya Mafwele inateseka ili kubalance maumivu
Ndio mla nyama mwenyewe the butcherEh mbona Chadema walisema n mkuu wa mkoa wa Arusha ndie mhusika ndio maana alipelekwa Arusha, sasa huyu Mafwale ametokea wapi?
Kwahy hilo ndio kosa la binti?Kmmk baba akw
Kmmk baba ake ni muuwaji na mtekani
Kamuambie sativa hili akupige tus na bloku juuHili halitaisha salama, yupo atakayeumia tu.
Fikiria kama huyo binti atapata sonona na mfadhaiko kisha akaamua kujiua, ni nani tutamlaumu?.
Mkumbuke pia Cyber bulling ni crime wajuba.
Dini ni kivuli mkuuMtu kama huyo utashangaa anarnda eti kusali!! Na huku akitambua fika yeye ni Izraeli mtoa roho za watu!!
Baba yao ni mtekaji muuwajiHili halitaisha salama, yupo atakayeumia tu.
Fikiria kama huyo binti atapata sonona na mfadhaiko kisha akaamua kujiua, ni nani tutamlaumu?.
Mkumbuke pia Cyber bulling ni crime wajuba.
Kamuulize sativaKwahy hilo ndio kosa la binti?
Muulize sativaNdio mla nyama mwenyewe the butcher