Boniface Jacob: Rais Samia tunaomba Afande Mafwele anayetuhumiwa kumteka Sativa achunguzwe

Boniface Jacob: Rais Samia tunaomba Afande Mafwele anayetuhumiwa kumteka Sativa achunguzwe

Unafikiri ana amuaa yeye
Yeye pia hutumwa

Ova
maswali ni mengi sana

lakini tusihukumu sana kwa hili
uyu anaonesha ni mwanaume ambaye ametoka kwenye familia ambayo yupo tayari kwa lolote ili familia yake ipate msosi so mbaya kila mwanaume yupo tayari kwa lolote kwaajili ya familia yake

hoja ni moja ni nani anamtuma au anafanya haya kwa faida ya nani au maslahi ya nani

anaonesha ni mwanaume mpenda sifa yupo tayari kwa lolote ili apate sifa kwenye jamii yake au kwaajili ya kikundi fulani cha watu

pengine hawa wakuu wanaomtuma kwa muda mrefu wameona awamu hihi muamko wa jamii kupitia tukio hili la majuzi wameona hasira iliyo kubwa kutoka kwa jamii so wale wakuu wameamua kumtupia jamaa msala hili aende jela afunge mdomo

ni maono yangu tu
 
Anaeua kwa Upanga uuliwa kwa Upanga, wapewe Wananchi wenye hasira kali washighulike nae hakuna haja ya kwenda kumfungia kwenye box akapewe msamaha wa 1/3 hakuna hio na yeye alambishwe Chuma cha Moto
ni kweli inatakiwa kupata maumivu lakini inabidi kwanza tujue nani anamtuma unajua mara nyingi

pale wengi hushoshea kidole kuwa ni pale pengine sio pale kumbe ni hapa
 
Back
Top Bottom