Boniface Jacob: Rais Samia tunaomba Afande Mafwele anayetuhumiwa kumteka Sativa achunguzwe

Mnatuchosha sana na haya mahabari yenu yasiyo kuwa na kikomo.

Hao watu ulio waorodhesha hapo wewe unadhani ni mjuaji zaidi kuliko walivyo wao?

Nimeshindwa hata kusoma hilo tangazo zima
 
Watoto wangu sitaki waifanye hiii kazi usalama/polisi
Wewe ndio Mama yangu na utetezi wake alikua anasema km wakienda huko basi kuna Siku moja watakuja kumuua yeye mwenyewe pamoja na kwamba amewazaa maana ni suala la kupewa Amri tu "muue Mama yako" wanaua bila kuhoji wala kuuliza
 
Ila jamaa ana sura ya kufanana na matendo yake aisee, duuh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…